Baba advent
Member
- Nov 23, 2011
- 72
- 16
Jamani katika majina yaliyorudishwa na tcu na jina langu na wanadai hawana matokeo yangu f.vi, sasa nikiongeza ile submit button haiwi activated. ko kwa yeyote anaweza kunisaidia nifanye anisaidie na wanadai mwisho 9/8. asanteni
naomba unisaidie mawaliano yao maana na. niliyonayo wanadai ni mbovu.Wapgie tcu,manake hata mm,first tym,niliambiwa cna sifa kwa matokeo ya fm 4,nikawapgia,ikawa fresh,na mambo yangu poa saiz.uckate tamaa
naomba unisaidie mawaliano yao maana na. niliyonayo wanadai ni mbovu.
uk click kwenye view my Examination result! Inakuletea nn?
your results is not in our records ndivyo wanavyodai
Ni PM ndugu yangu
your results is not in our records ndivyo wanavyodai
Andamana kwa waziri wa Elimu au kituo cha Polisi,unaweza kuta wameyaficha chini ya kiatu cha Zombie
Ni PM ndugu yangu