Msaada juu TCU

Msaada juu TCU

Baba advent

Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
72
Reaction score
16
Jamani katika majina yaliyorudishwa na TCU na jina langu na wanadai hawana matokeo yangu F.vi, sasa nikiongeza ile submit button haiwi activated. ko kwa yeyote anaweza kunisaidia nifanye anisaidie na wanadai mwisho 9/8. asanteni
 
Wapgie tcu,manake hata mm,first tym,niliambiwa cna sifa kwa matokeo ya fm 4,nikawapgia,ikawa fresh,na mambo yangu poa saiz.uckate tamaa
 
Jamani katika majina yaliyorudishwa na tcu na jina langu na wanadai hawana matokeo yangu f.vi, sasa nikiongeza ile submit button haiwi activated. ko kwa yeyote anaweza kunisaidia nifanye anisaidie na wanadai mwisho 9/8. asanteni

Ni PM ndugu yangu
 
Wapgie tcu,manake hata mm,first tym,niliambiwa cna sifa kwa matokeo ya fm 4,nikawapgia,ikawa fresh,na mambo yangu poa saiz.uckate tamaa
naomba unisaidie mawaliano yao maana na. niliyonayo wanadai ni mbovu.
 
your results is not in our records ndivyo wanavyodai

jaribu tena ku click Add form six/four result then add! Kama ikikataa nakushaur uende ofisin kwao moja kwa moja kabla ya tar9!
 
Ni PM ndugu yangu

Mtoa mada achana na huyu jamaa atakupoteza... Alishajifanya yeye ni mfanyakazi wa tcu akaumbuliwa na thread yake aliyowahi kuitupia humu ikimuonyesha ye ni mmoja wa applicants.
 
Back
Top Bottom