Mr nobby
Senior Member
- Aug 25, 2023
- 196
- 395
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni wa fani hii hasa katika upande wa kusaka ajira. Nafahamu tanesco, ewura na temesa tu.
Pia mnisadie mbinu za kujiajiri katika fani hii.
Pia Kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kumsaidia katika Mambo ya electrical installation nipo hapa.
Mwisho kbsaa: Je kwa hali ilivo Sasa mnanishauri niunge bachelor au nibaki kwanza na diploma yangu nipate uzoefu?
Natanguliza shukurani.