Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

Atauliza ipo Dar maeneo gani..🤣
Ndio tatizo la vijana wako classmate 😂😂😂😂 , umenikumbusha kuna mmoja nataka kupata uzoefu wa kuchenjua dhahabu nikamwambia njoo nikupe na geto kabisaaa akaniambia ni mbali huko ingekuwa Morogoro ningekuja
 
Back
Top Bottom