Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

Atauliza ipo Dar maeneo gani..🀣
Ndio tatizo la vijana wako classmate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , umenikumbusha kuna mmoja nataka kupata uzoefu wa kuchenjua dhahabu nikamwambia njoo nikupe na geto kabisaaa akaniambia ni mbali huko ingekuwa Morogoro ningekuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…