kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
Naomba msaada wenu ndugu zangu. Mi nilitakiwa kuanza period yangu ya kila mwezi tarehe 9 mpaka 12 mwezi huu na dalili zote nilikuwa nazo lakini mpaka sasa sijaziona siku zangu. Tatizo litakuwa ni nini? Naomba mnisaidie wazoefu na Madoctor
ndiyo nimefanya tendo la ndoa karibuni kwa sababu nimeolewa. Sijawahi kutumia uzazi wa mpango
Na vipi mtu akipata mimba inachukua muda gani mpaka ionekane kwenye vipimo?
Kapime UPTndiyo nimefanya tendo la ndoa karibuni kwa sababu nimeolewa. Sijawahi kutumia uzazi wa mpango