Jmujun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 965
- 525
Salam kwa wote jamvini,
Tafadharini sana wakuu nimeanzisha Uzi japo nipate mawili matatu juu hedhi . Tatizo ni hedhi kwa muda mrefu,
Rafiki yangu[best friend] ana tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu, hii hali imetunyima amani Sana ila kulingana na maarifa ya jamvini nadhani ntapata mwanga juu yA hilo nani ntamsaidia best yangu,
Best aliingia kwa siku zake lakini alichelewa kama siku tatu au nne jinsi alivyokuwa akitegemea, alipoingia baada ya siku mbili, ya tatu akatoka vizur lakini cha ajabu siku saba badae akaingia tena, aliponishikirisha wanzoni alidai huwa muda Fulani huwa inamtokea lakini damu huwa kidogo sana hata pads hatumii, alafu huwa mambo yana kama Sawa cha ajabu sasa ni wiki ya pili anaelekea ya tatu, hajatoka hedhi imeendelea pasipo kukoma, na si kidogo tena balia melazimika kutumia pads.
Msaada wanajamvi,