Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
😂😂😂😂😂 wew no nina age 25Mpo darasa la ngapi? Najua utachukia ila mwandiko unaeleza mengi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli tunatofautiana. At the age of 25 sikuwahi kuzama kenye mapenzi na msichana yoyote zaidi ya kupiga na kusepa. Yaani umri huo niliutumia kusoma, kujibrand kikazi na kujirusha inapobidi. Nilizama kwenye mapenzi nilipofikisha 30 na nikaoa kabisaBlock futa number utanishukuru baadae
Morning
Tumeanza mahusiano hii week sasa lakini kashaomba hela mara tatu then leo ananiambia hvi, nimekosa cha kumjibu kabisa
Ungekuwa wewe ungemjibuje.
View attachment 2437203