Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

Mwanaume unatumia neno nakupenda vibaya.

Too much attention kwa mwanamke ni dalili ya kupotea kwako.

Btw, amesha onesha makucha yake mwanzo kua kwamba anapenda kwa pesa. Shituka!
 
Huo uandishi wenu duuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli tunatofautiana. At the age of 25 sikuwahi kuzama kenye mapenzi na msichana yoyote zaidi ya kupiga na kusepa. Yaani umri huo niliutumia kusoma, kujibrand kikazi na kujirusha inapobidi. Nilizama kwenye mapenzi nilipofikisha 30 na nikaoa kabisa
Safi
 
Wana Jeii eef mtuvumilie Sisi Student Tumeshafunga Shule tuko Nyumbani Tunatumia Simu za Dada wa Kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehuuuu, nimekumbuka mbali.
 
Aisee,,kwahiyo huduma ndiyo sababu ya kuvulia chupi kila mwanaume!!!!!

Hii ni hatari
 
Back
Top Bottom