Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

Nafikil unajua ukiwa mwanaume kazi yako ya Kwanza Ni kuhakikisha family haidhaliliki so yeye kakuambia ukwel nawe hakikisha umemwambia ukwel ila km unataka tu tukupe jibu basi mjibu (ntajitaid kwa kadri ya uwezo wangu) alaf kaa nae mpange mikakati
 
Madem wengi sahv mshipa wa aibu hawana kabisa ndo maana jamaa wanawala jicho

Eti unihudumie niridhike ya nyoko
 
Aina hii ya mademu wanaotegemea ku survive kwa vibomu kutoka kwa wanaume wakizeeka maisha yamewachapa, wanaume wamewakimbia kwa sababu walikua wanapiga na kusepa ndo unakuta wamekaa barabarani na meza za ubuyu na karanga

Unabaki unajiuliza huyu miaka yote alikua wapi mpaka umri umeenda sana na anauza ubuyu na karanga,angeanza zamani hii biashara kipindi bado binti ana nguvu si angekua mbali

Huyo demu ni complete liability
Actually. Wanawake wengi wanajisahau wanafikiri wataendelea kungara mda wote kumbe mda unakwenda wanapoteza mvuto. Kwahiyo katika kipindi hicho wanaanza kujiona kama wametengwa
 
Actually. Wanawake wengi wanajisahau wanafikiri wataendelea kungara mda wote kumbe mda unakwenda wanapoteza mvuto. Kwahiyo katika kipindi hicho wanaanza kujiona kama wametengwa
Sema tuwaachie maisha yao it's none of our business
 
Back
Top Bottom