Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

Nafikil unajua ukiwa mwanaume kazi yako ya Kwanza Ni kuhakikisha family haidhaliliki so yeye kakuambia ukwel nawe hakikisha umemwambia ukwel ila km unataka tu tukupe jibu basi mjibu (ntajitaid kwa kadri ya uwezo wangu) alaf kaa nae mpange mikakati
 
Madem wengi sahv mshipa wa aibu hawana kabisa ndo maana jamaa wanawala jicho

Eti unihudumie niridhike ya nyoko
 
Actually. Wanawake wengi wanajisahau wanafikiri wataendelea kungara mda wote kumbe mda unakwenda wanapoteza mvuto. Kwahiyo katika kipindi hicho wanaanza kujiona kama wametengwa
 
Actually. Wanawake wengi wanajisahau wanafikiri wataendelea kungara mda wote kumbe mda unakwenda wanapoteza mvuto. Kwahiyo katika kipindi hicho wanaanza kujiona kama wametengwa
Sema tuwaachie maisha yao it's none of our business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…