Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unaamuaje wakati namba za gia hamnaButton ya MANU imewekwa kwenye gari automatic ili kumpa Dereva option ya kuendesha gari yake kama manual.
The minute ukipress hiyo button tayari wewe una kua una amua engagement ya gia.