MEK_TZ
Senior Member
- Apr 21, 2021
- 179
- 365
Wakuu Mungu katupa uzima tumeuanza mwaka salama ni jambo la kumshukuru.
Naomba nijikite kwenye mada nahitaji elimu juu ya kufungua kampuni inayo jihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali kwenye jamii.
Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni hiyo sina ujuzi wala elimu kuhusu uendeshaji wa kampuni.
Nina mzunguko wa watu wengi ambao wamekuwa wakinitumia kuwasaidia huduma mbali mbali kama kuwafatilia hati za viwanja vyao, kubadili majina ya kadi za magari, kuwaunganisha na watu mbali mbali ( viongozi wakubwa) huduma za kiafya, kutoa ushauri n.k.
Kutokana na kazi hizo nikapata wazo la kufungua kampuni ili niweze kuendeleza huduma kwa utaratibu unao fata sheria.
Je ni kiasi gani naweza kuanza nacho pia naomba kujua faida na hasara juu ya kuanzisha kampuni namna ya kuiendesha na mengine mengi yanayohusu undani wa kampuni za kutoa huduma kama hizi.
Asante wakuu.