Msaada juu ya kujenga nyumba Dar es salaam

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo

1: vyumba vitatu
2: bathroom and toilet
3: sitting room
4: dining room

Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo

1: kwa ukubwa huo wa nyumba ni matofali mangapi yanaweza kutumika kujenga hyo nyumba under estimation
2: tofali moja linaweza kughalimu shilling ngapi
3:ni mabati kiasi gani ya msouth yanaweza kutumika ktk kujenga hyo nyumba
4: gharama zingne mzijuazo nyny kama wataalamu wa mambo haya ya ujenz

Nawaombeni kwa wale wenye uzoefu na ujuzi wa mambo haya ya ujenz mnisaidie taarifa muhimu tafadhalini asanteni saana
 
japo mimi ni mwanafunzi wa civil engineering(mwaka wa nne),,yote hayo naweza kuyafanya kwa malipo,pia naweza kuisimamia nyumba yako mpaka inaisha na kukabidhi kwa makubaliano maalum.
Pia nimeungana na mwenzangu kwa mambo yote yahusuyo umeme.
kama upo interest-0769454999
 
Kigamboni kama sikosei tofali linafika hadi 1300 inchi 6+ kukuletea hadi saiti

Ila kuzungumza mnaelewana

Ila ni vyema ukatafuta mchoraji aje site mzungumze akuchoree na kushauriana
 
japo mimi ni mwanafunzi wa civil engineering(mwaka wa nne),,yote hayo naweza kuyafanya kwa malipo,pia naweza kuisimamia nyumba yako mpaka inaisha na kukabidhi kwa makubaliano maalum.
Pia nimeungana na mwenzangu kwa mambo yote yahusuyo umeme.
kama upo interest-0769454999

umeombwa ushauri wala hajatangaza tenda
 
Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo

1: vyumba vitatu
2: bathroom and toilet
3: sitting room
4: dining room

Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo

1: kwa ukubwa huo wa nyumba ni matofali mangapi yanaweza kutumika kujenga hyo nyumba under estimation
2: tofali moja linaweza kughalimu shilling ngapi
3:ni mabati kiasi gani ya msouth yanaweza kutumika ktk kujenga hyo nyumba
4: gharama zingne mzijuazo nyny kama wataalamu wa mambo haya ya ujenz

Nawaombeni kwa wale wenye uzoefu na ujuzi wa mambo haya ya ujenz mnisaidie taarifa muhimu tafadhalini asanteni saana
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.
  • Tafuta architect mpeleke site,
  • mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe,
  • tafuta engineer afanye structural design,
  • tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC, machine za kufua, machine za gym, majiko, heaters, alternative power source design, taa, etc
  • tafuta services engineer akufanyie design ya maji safi na taka
  • tafuta mtu wa landscaping akufanyie design ya bustani, etc
  • tafuta QS akupe detailed cost estimate,
  • tafuta vibali vya ujenzi kwa mamlaka husika,
  • tafuta msimamizi (engineer, technician) especially wakati wa setting, uchanganyaji na umwagaji wa zege na wakati wa kuezeka.
  • etc
 
naona watu wamekushauri vizuri sana hasa yule aliyeorodhesha professionals pale chini.
kikubwa sisi tulio kwenye construction industry tunapata shida sana kuelewesha watu inafika mahali watu wanajifanyia tu mambo mwisho wanakuja kulia ujenzi ni gharama.
kikubwa tafuta wataalamu kama ulivyoambiwa.
kwa kukusaidia mtafute architect mpeleke site baada ya kupata mchoro wake ambao atakuonesha na ukiupenda na kuupitisha hapo ndio habari zote zinaanza sasa za kujua yote unayotaka kujua.

kingine cha kukushauri jitahidi sana kumwambia architect akuchoree mchoro unaoendana na budget yako naongea hivi mimi nawajua wateja wetu wa kitanzania ni watu wa shobo kutaka kama alivyojenga jirani bila kujua kuwa jirani alitumia budget kiasi gani. NI LAZIMA USEME KITU KILICHO NDANI YA BUDGET YAKO.

nazani utajiuliza utajuaje kuwa mahitaji haya yanaendana na hela uliyonayo....it is simple tu ukitoa mahitaji ya msingi unakuja kumwambia huyo architect nyumba yako unataka iweje iweje kwa muonekano, kwa material na mambo mengine halafu mwambie pamoja na hayo mahitaji mimi nimejipanga kiasi hiki vipi inatosha kwa haraka harka yeye anaweza kuwa na mtazamo juu ya gharama zako na aka design kulingana na hizo gharama zako.
 
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.
  • Tafuta architect mpeleke site,
  • mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe,
  • tafuta engineer afanye structural design,
  • tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC, machine za kufua, machine za gym, majiko, heaters, alternative power source design, taa, etc
  • tafuta services engineer akufanyie design ya maji safi na taka
  • tafuta mtu wa landscaping akufanyie design ya bustani, etc
  • tafuta QS akupe detailed cost estimate,
  • tafuta vibali vya ujenzi kwa mamlaka husika,
  • tafuta msimamizi (engineer, technician) especially wakati wa setting, uchanganyaji na umwagaji wa zege na wakati wa kuezeka.
  • etc

Mkuu,

Kwa Mtaji lazima gharama ziwe doubled, maana hao wote hapo juu utawalipa.
 
Shark gharama za "design services" kamwe haziwezi kuwa nusu ya gharama za "actual works". In most cases zinakuwa single-digit percent ya "actual work contract".
 
Last edited by a moderator:
Kama wote tungekuwa tunafuata ushaur na mambo yote anayosema huyo TC.hakuna mtu atajenga mambo kibao.
 
_🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 '🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 '🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 ''🙂 🙂 '🙂 🙂 🙂 '-_----_-----------🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 -🙂 🙂 --🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 '---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------_------_-------------------------------------------------_-----------------------_-----------------------------------_-------------------__--------_-------------_------------------_------------------------_----------------------------------_--__-------'--''----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------'-----------'-------------------------------------------'-'------------------'--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------'-------------------------------------------------------------------------------------------'---------------------------------------------------------------------------------'------------------------'------------------------------------------------------'----------------------------'------------------------------------------------'--------------'--------------'-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------___---------------__----🙂 ----🙂 ---🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 --🙂 -🙂 -🙂 🙂 -🙂 🙂 ---🙂 -----🙂 --🙂 🙂 -🙂 -🙂 🙂 🙂 ---🙂 -🙂 _-----__🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 -🙂 🙂 🙂 _🙂 _y🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 ----🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 --🙂 _----_🙂 -------🙂 🙂 🙂 ----🙂 🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 --🙂 🙂 🙂 🙂 -🙂 🙂 -🙂 🙂 -🙂 -🙂 🙂 🙂 🙂 --🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.
  • Tafuta architect mpeleke site,
  • mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe,
  • tafuta engineer afanye structural design,
  • tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC, machine za kufua, machine za gym, majiko, heaters, alternative power source design, taa, etc
  • tafuta services engineer akufanyie design ya maji safi na taka
  • tafuta mtu wa landscaping akufanyie design ya bustani, etc
  • tafuta QS akupe detailed cost estimate,
  • tafuta vibali vya ujenzi kwa mamlaka husika,
  • tafuta msimamizi (engineer, technician) especially wakati wa setting, uchanganyaji na umwagaji wa zege na wakati wa kuezeka.
  • etc

Usitafute hata mmoja aliyesema hapo. Kama unajenga nyumba ya chini cha muhimu ni ramani huitaji mchoraji aende site. Mimi nimejenga gorofa moja na siku na hata mmoja wa hao hapo juu, nilipata vibali kinondoni pale wilayani sababu wale wapuuzi wanasumbua wakikuta unajenga bila vibali. Baada ya hapo nikakamata fundi wenye experience.
 
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.
  • Tafuta architect mpeleke site,
  • mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe,
  • tafuta engineer afanye structural design,
  • tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC, machine za kufua, machine za gym, majiko, heaters, alternative power source design, taa, etc
  • tafuta services engineer akufanyie design ya maji safi na taka
  • tafuta mtu wa landscaping akufanyie design ya bustani, etc
  • tafuta QS akupe detailed cost estimate,
  • tafuta vibali vya ujenzi kwa mamlaka husika,
  • tafuta msimamizi (engineer, technician) especially wakati wa setting, uchanganyaji na umwagaji wa zege na wakati wa kuezeka.
  • etc

Kwa Mtani tu hao wote wanaweza kukukamua bei gani?
 
Back
Top Bottom