Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo
1: vyumba vitatu
2: bathroom and toilet
3: sitting room
4: dining room
Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo
1: kwa ukubwa huo wa nyumba ni matofali mangapi yanaweza kutumika kujenga hyo nyumba under estimation
2: tofali moja linaweza kughalimu shilling ngapi
3:ni mabati kiasi gani ya msouth yanaweza kutumika ktk kujenga hyo nyumba
4: gharama zingne mzijuazo nyny kama wataalamu wa mambo haya ya ujenz
Nawaombeni kwa wale wenye uzoefu na ujuzi wa mambo haya ya ujenz mnisaidie taarifa muhimu tafadhalini asanteni saana