Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
shukrani mkuuPole mkuu hakika watakuja kukusaidia
sawa mkuu nadhukuruMalezi ya mtoto yana changamoto nyingi sana
1. Hakikisheni ndoa yenu ina Amani
2. Hakikisha mtoto Hana vipele mwilini,aweananyonya na akipewa chakula mama ahakikishe mtoto ameshiba.
3. Kutana na madaktari wawatoto atakusaidia zaidi.
4. Dawa za asili kulingana na Imani yako zitumie kama huziamini mpeleke kanisani
Mtoto anaharisha?
shukrani mkuu ila moja ya dawa ulizo tumia unaweza niambia pia hata kwa daktari ulipo enda wewe unaweza niambia piaMpeleke kwa Madaktari bingwa wa watoto. Wa kwangu alinisumbua hivyo hivyo mpaka akawa kila wiki anapatwa dege dege. Ilikuwa inaogofya sana. Nilimpeleka kwa Madaktari bingwa mpaka akapona.
Pole mkuu
Maswali mazuri sana haya, bila shaka utatusaidia wengi. 🙏🏾Mtoto anaharisha?
Choo chake kikoje?
Ana tapika/alitapika?
Alipata chanjo ya rota?
Ana vipele?
Ana kohoa?
Hali ya meno vipi amekwisha kuota meno mchunguze kwenye fizi zake..
Chunguza utosi Wake Umebonyea au umekuja juu?
Tatizo hili limemuanza lini?
Kuna uwezekano mkubwa akawa na Septicemia , au Toorth Eruption...
Nenda hospitali ya Mkoa au kwa daktari Aliye karibu sio Tabibu kwa ajili ya uchunguzi na matibabu
ni hatari kukaa na mtoto anayeumwa wakati huo asiyekula..
Atapata Hypoglacemia (Pungukiwa sukari) inaweza kusababisha mengine muwaishe hospitali
Baada ya kuambiwa ana maambukizi kwenye damu alipewa Dawa gani??
Mtoto wako anahitaji dr bingwa wa watoto. Watanzania wengi akienda hospital mara mbili tayari anakata tamaa. Badilisha hospital, nenda za uhakika. Siku hizi kuna hospital nyingi sana za vichochoronina dr wasio na utaalam mzuri. Kama uko dr ulizia kuna madaktari wa watoto wanaosifika sana.shukrani mkuu ila moja ya dawa ulizo tumia unaweza niambia pia hata kwa daktari ulipo enda wewe unaweza niambia pia
ndio anahalisha ila ameanza juziMtoto anaharisha?
Choo chake kikoje?
Ana tapika/alitapika?
Alipata chanjo ya rota?
Ana vipele?
Ana kohoa?
Hali ya meno vipi amekwisha kuota meno mchunguze kwenye fizi zake..
Chunguza utosi Wake Umebonyea au umekuja juu?
Tatizo hili limemuanza lini?
Baada ya kuambiwa ana maambukizi kwenye damu alipewa Dawa gani??