DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Shukrani sana kwa majibu Mkuu..ndio anahalisha ila ameanza juzi
kuhusu kutapika ni hadi pale unapo
mlazimisha kula anakuwa kama anajitapisha maana hataki kula kabisa.
chanjo ya rota hajapata ila kwa mujibu wa kadi yake chanjo zote kapata
lakini Kuna kitu sijakuelewa hebu kiweke sawa..
Chanjo ya rota kapata au hajapata?
Maana umetoa majibu mawili kwa wakati mmoja..
choo anachoharisha kina mucus (Makamasi) au ni maji....
Kwahyo anatapika na kuharisha sio?
Na bado hujaniambia kama meno kaota na umechunguza fizi za juu na chini??
Kingine anatumia Chakula gani?
Formula? Au ni uji na maziwa ya mama yake au ni mchanganyiko?