DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Shukrani sana kwa majibu Mkuu..ndio anahalisha ila ameanza juzi
kuhusu kutapika ni hadi pale unapo
mlazimisha kula anakuwa kama anajitapisha maana hataki kula kabisa.
chanjo ya rota hajapata ila kwa mujibu wa kadi yake chanjo zote kapata
Ndio mkuu umenena vema,nchi inahitaji tujenge hospital hata mbili kwa ajili ya watoto tu ,nilibahatika kutembelea Nelson Mandela children hospital, niliyoyaona nilipotoka nje nililia sana,tumekwama wapi kama nchi?uwezo tunao sasa tatizo lipo wapi au kwa sababu watoto wa royal families wanatibiwa Ottawa?Mtoto wako anahitaji dr bingwa wa watoto. Watanzania wengi akienda hospital mara mbili tayari anakata tamaa. Badilisha hospital, nenda za uhakika. Siku hizi kuna hospital nyingi sana za vichochoronina dr wasio na utaalam mzuri. Kama uko dr ulizia kuna madaktari wa watoto wanaosifika sana.
Mkuu watawala hawana habari. Kwani ni watoto wao wanaokufa? Wanaofiwa na watoto wao wamelala fofofo, wanadhani hawahusiki kwenye kuleta mabadiliko. Anyways, nisiwalaumu sana kwa sababu CCM ndiyo imewafanya hivyo kwa kuwanyima elimu sahihi.Ndio mkuu umenena vema,nchi inahitaji tujenge hospital hata mbili kwa ajili ya watoto tu ,nilibahatika kutembelea Nelson Mandela children hospital, niliyoyaona nilipotoka nje nililia sana,tumekwama wapi kama nchi?uwezo tunao sasa tatizo lipo wapi au kwa sababu watoto wa royal families wanatibiwa Ottawa?
Exactly mkuu, why after more than 60yrs ya utawala wa serikali ya CCM hakuna hata children hospital π₯ moja?,jibu wao watoto na wajukuu wao flu kidogo wapo india, UK, au netcare millpark, tatizo la huyu mwenzetu linahitaji doctor's walio specializes magonjwa ya watoto, as a country tulitakiwa tuwe nao hata kama ni moja tuMkuu watawala hawana habari. Kwani ni watoto wao wanaokufa? Wanaofiwa na watoto wao wamelala fofofo, wanadhani hawahusiki kwenye kuleta mabadiliko. Anyways, nisiwalaumu sana kwa sababu CCM ndiyo imewafanya hivyo kwa kuwanyima elimu sahihi.
Hawa Doctors wa watoto walitakiwa wawe na hospital maalum kwa ajili ya magonjwa ya watoto tuMtoto wako anahitaji dr bingwa wa watoto. Watanzania wengi akienda hospital mara mbili tayari anakata tamaa. Badilisha hospital, nenda za uhakika. Siku hizi kuna hospital nyingi sana za vichochoronina dr wasio na utaalam mzuri. Kama uko dr ulizia kuna madaktari wa watoto wanaosifika sana.
Nipo mkuu niko nahojiana naye nijue namsaidiaje but so far tuko vizuriNenda kwa ma pediatrician kama sijakosea, ni madaktari special kwa magonjwa ya watoto.
Ungekuwa mwanza kuna daktari mmoja hivi yuko kirumba ana kizahanati chake kinaitwa upendo.
Yuko vizuri sana.
Au tafuta specialist wa magonjwa ya watoto.
CC: DR HAYA LAND Dr Ahmed Albah-Shahwa Dr Adinan Dr 4G Dr 1615 DR Mambo Jambo Dr Malima
Pole kwa mitihani ya mtoto. Ningependa kukushauri uangalie kwa upande wa pili. Rudi kwa muumba wako . Kama ww ni mkristo baci mpleke kwenye makanisa ya wacha mungu sio maomba mungu. Na kama imani yako ni kiisilamu baci tafuta sheikh aliebobea kwenye naombi ya "manamini" Sio atakaejigamba kumtibu mtoto. Inawezekana tiba ya hospitali ingefai kumtibu mtoto wako ila ww na uharaka wako umeghafilika kusahau kuanza kwa mungu .Poleni na majukumu.
Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo haliishi. Vipimo walivyokuwa wakichukuwa ::
MRDT
URINE
RBG
FBP
Dokta alisema ana maambukizi kwenye damu akaandikiwa dawa na sindano dawa yakuongeza dam
kiukweli amesha maliza lakini sioni mabadiliko mtoto amekuwa kishtuka usiku hataki kula wa kunywa uji hataki.
Naimani humu kuna wazazi kama mm naombezi mawazo yenu madokta karibuni #mzizimkavu karibu upite hata
shukrani mkuu mimi nipo darNenda kwa ma pediatrician kama sijakosea, ni madaktari special kwa magonjwa ya watoto.
Ungekuwa mwanza kuna daktari mmoja hivi yuko kirumba ana kizahanati chake kinaitwa upendo.
Yuko vizuri sana.
Au tafuta specialist wa magonjwa ya watoto.
CC: DR HAYA LAND Dr Ahmed Albah-Shahwa Dr Adinan Dr 4G Dr 1615 DR Mambo Jambo Dr Malima
samahani ulitibiwa hospitali gani daktari yupi nipe mwanga au hata dawa ulizo tumia msaada tafadhali sielewi cha kufanyaPole mkuu. Mtoto wangu nae alikuwa anasumbuliwa na homa , anakuwa wa motoo hadi wewe uliyembeba unahisi linakuzidia halafu joto lote hilo hatokwi jashoβ¦ila akifanyiwa vipimo wanasema infection dawa hazimalizi tatizo. Daktari wa watoto akaniambia inabidi wamtibie Malaria japo kwenye vipimo haikuonekana. Nilimshangaa lakini mtoto alikuwa vizuri baada tu ya kuanza dozi.
+255713306263 mtafute huyu DoctorPoleni na majukumu.
Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo haliishi. Vipimo walivyokuwa wakichukuwa ::
MRDT
URINE
RBG
FBP
Dokta alisema ana maambukizi kwenye damu akaandikiwa dawa na sindano dawa yakuongeza dam
kiukweli amesha maliza lakini sioni mabadiliko mtoto amekuwa kishtuka usiku hataki kula wa kunywa uji hataki.
Naimani humu kuna wazazi kama mm naombezi mawazo yenu madokta karibuni #mzizimkavu karibu upite hata
Huyo mtoto ni wa ngapi kwako?Poleni na majukumu.

dokta chanjo ya rota hajapata kwa mujibu wa mama mtoto maana mm ni baba mtoto.Shukrani sana kwa majibu Mkuu..
lakini Kuna kitu sijakuelewa hebu kiweke sawa..
Chanjo ya rota kapata au hajapata?
Maana umetoa majibu mawili kwa wakati mmoja..
choo anachoharisha kina mucus (Makamasi) au ni maji....
Kwahyo anatapika na kuharisha sio?
Na bado hujaniambia kama meno kaota na umechunguza fizi za juu na chini??
Kingine anatumia Chakula gani?
Formula? Au ni uji na maziwa ya mama yake au ni mchanganyiko?
Hivi ndio professional yake kiuhalisia
Ok Nakujibu PMdokta chanjo ya rota hajapata kwa mujibu wa mama mtoto maana mm ni baba mtoto.
choo cha mtoto ni cha chenga chenga cha njano
mtoto hati kula kabisa kwa hiyo pale una mlazimisha anakuwa ataka kujitapisha
chakuja chake hasa ni uji lishe viazi mchanganyiko ndizi na ugali.
meno amesha ota ila mdomoni kuna utando mweupe
shukrani doktaOk Nakujibu PM
Maana naona umenichek huko..
Kama ana utando mweupe Mdomoni..
Probably ni Oral Candidiasis..
Na inaweza kuleta hizo effects zote za kutokula na kuwa restless na kulia lia pia..
How comes Dr alitemuattend hakuona hilo??
Angekuwa dokta tungemuuliza PITC status ya mgonjwa..? Naona hajaigusa kabisa kwenye maelezo yake.Mtoto anaharisha?
Choo chake kikoje?
Ana tapika/alitapika?
Alipata chanjo ya rota?
Ana vipele?
Ana kohoa?
Hali ya meno vipi amekwisha kuota meno mchunguze kwenye fizi zake..
Chunguza utosi Wake Umebonyea au umekuja juu?
Tatizo hili limemuanza lini?
Kuna uwezekano mkubwa akawa na Septicemia , au Tooth Eruption...
Nenda hospitali ya Mkoa au kwa daktari Aliye karibu sio Tabibu kwa ajili ya uchunguzi na matibabu
ni hatari kukaa na mtoto anayeumwa wakati huo asiyekula..
Atapata Hypoglacemia (Pungukiwa sukari) inaweza kusababisha mengine muwaishe hospitali
Baada ya kuambiwa ana maambukizi kwenye damu alipewa Dawa gani??
CC: Baraka sheni
Hiyo.huwezi kumuuliza Hadharani πππAngekuwa dokta tungemuuliza PITC status ya mgonjwa..? Naona hajaigusa kabisa kwenye maelezo yake.
Alafu tu screen na kama kwenye familia kuna hx ya SCD..?