msaada juu ya regstration form,medical form

msaada juu ya regstration form,medical form

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,368
habari zenu binafsi bana wana jf!Mim ni mwanafunzi ambaye anategemea kuanza chuo mwakaa 2012/2013!katika maandalizi yangu kuna ki2 kimoja kinanitatiza ambacho ni hizo fomu tajwa!dukuduku nilizo nazo ni kama ifuatavyo na naomba msaada wenu! 1:katika web ya chuo nilichochaguliwa kuna form tajwa,je yanibidi kuzidownload nakuzijaza nikiwa home au ziko special ambazo inabidi nizichukue chuoni penyewe afu ndo nizijaze cku ya regstration au? 2:hiyo tisa,kumi, ni kwamba je kanikizidownload nikazi-print haitakuwa noumer nembo ya chuo ikitoka black & white,afu ikakataliwa nikaharibu wino wangu! 3:na je hizo passport za black white bado zipo kweli make wanazitaka kwenye regstration form natanguliza shukrani na nakaribisha maoni yenye tija na sio matusi 'make kuuliza c ujinga' nimechanguliwa kujiunga na muhas!
 
dah mkuu nikiiona hiyo avatar yako network inakata kabsaaaaaa!!!! ila c mbaya tungoje wataalam waje....
 
hiyo ya medical report unabidi uijaze mkuu kwa kuipeleka hospital ikapigwe muhuri na kilakitu..me mwenyewe nimeshaidownload na kuijaza kuhusu hiyo ya registration nadhani ni mpaka chuo kifunguliwe yaani siku ya registration..na kuhusu kuprint kwa rangi au black and white nahisi itakuwa choice yako kwasababu hawajakupa limitation binafsi nimetumia rangi.. tukowote pamoja hapo muhas mkuu..
 
Nashukuru zul zonder mi nakunyaka xana we sindo muanzisha thread ya 'wa muhas tujuane'nambie user account yakoya fb ka unatumie tufamiane zaidi na tupeane lile na lile!
 
Back
Top Bottom