Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
habari zenu binafsi bana wana jf!Mim ni mwanafunzi ambaye anategemea kuanza chuo mwakaa 2012/2013!katika maandalizi yangu kuna ki2 kimoja kinanitatiza ambacho ni hizo fomu tajwa!dukuduku nilizo nazo ni kama ifuatavyo na naomba msaada wenu! 1:katika web ya chuo nilichochaguliwa kuna form tajwa,je yanibidi kuzidownload nakuzijaza nikiwa home au ziko special ambazo inabidi nizichukue chuoni penyewe afu ndo nizijaze cku ya regstration au? 2:hiyo tisa,kumi, ni kwamba je kanikizidownload nikazi-print haitakuwa noumer nembo ya chuo ikitoka black & white,afu ikakataliwa nikaharibu wino wangu! 3:na je hizo passport za black white bado zipo kweli make wanazitaka kwenye regstration form natanguliza shukrani na nakaribisha maoni yenye tija na sio matusi 'make kuuliza c ujinga' nimechanguliwa kujiunga na muhas!