Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
HapanaUna bima ya Afya?
Mbona sina matarajio makubwa naishi kawaida tu vile mungu amenijaaliaPunguza matarajio makubwa kwenye mambo yako,ishi kawaida
Nenda kwanza ucheki hospitali kama huna tatizo la moyo au presha. Kama upo vizuri na bado unashtuka hovyo basi ni vyema ukafuatilia sana mambo ya kiroho kwani kushtuka hovyo kunaweza kukasababishwa na shughuli za kiroho za viumbe kama majini katika mwili wako. Uwe na uhakika kuwa utakaowakimbilia kwa msaada ya kiroho hawatakuongezea matatizo.Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata km hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
Ok sawaMbona sina matarajio makubwa naishi kawaida tu vile mungu amenijaalia
Sawa mkuu nitafanya ivoNenda kwanza ucheki hospitali kama huna tatizo la moyo au presha. Kama upo vizuri na bado unashtuka hovyo basi ni vyema ukafuatilia sana mambo ya kiroho kwani kushtuka hovyo kunaweza kukasababishwa na shughuli za kiroho za viumbe kama majini katika mwili wako. Uwe na uhakika kuwa utakaowakimbilia kwa msaada ya kiroho hawatakuongezea matatizo.
Sukari niliwahi kupima ila mda mrefu sana,energy situmii wala kahawa,usingizi napata km kuanzia saa 5 adi saa 11 asubuhiJe una tumia kahawa au energy drinks?
Je unapata usingizi wakutosha ?
Ulishawahi pima kiwango cha sukari mwilini?
Kuna shida ya gesi nyingi kuzalishwa tumboni inaweza pelekea hali kama hiyo🤔Sukari niliwahi kupima ila mda mrefu sana,energy situmii wala kahawa,usingizi napata km kuanzia saa 5 adi saa 11 asubuhi
Ok nitaenda hosptal kujua shidaKuna shida ya gesi nyingi kuzalishwa tumboni inaweza pelekea hali kama hiyo🤔