Msaada juu ya tendo la ndoa

Msaada juu ya tendo la ndoa

Kupatwa kwa ndoa!!!!

Hata demu wangu hawezi kunipangia siku za kupiga show!
Sasa mke ndiyo anipe ratiba????

Hakuna suala la ratiba kwenye mahusiano. Maana huwezi zizuia hisia na mihemko ya mwili kwa kusubiria siku ya ratiba.
Na wala hutaweza kushindana na hisia za mapenzi kamwe.
 
sijajua mtu anaposema tendo la ndoa anamaanisha nini hasa. maana baada ya kufunga ndoa kila mnalo fanya ni tendo la ndoa.. so kuna matendo mengi ya ndoa baada ya ndoa
 
Masikn kijana wawatu unalia tu pole sana jitahidi ndo ukubwa huo..tena kama mkewako nifull nyama utakoma..
 
Kuna madhara hani kupiga bao1 bila kuendelea? Mpaka siku nyingine

Nadhani kama ni kweli umeoa basi kuna katatizo kwenye ndoa yako na usipolirekebisha mapema utaaibika mkuu. Kama weye ni mkristo unayeamini Biblia kuwa neno la Mungu, inasema hivi: Msinyimane, mwanamme hana amri juu ya mwili wake na vivyo hivyo mwanamke hana amri juu ya mwili wake. Tena anasema, msinyimane labda kama ni kwa faragha (Maombi/sala). Sasa, kama Mola aliyaona haya ndo maana akaweka angalizo hilo, wewe unasema pulizo moja tu ulale hadi kesho kutwa hii si halali. Je mwenzio akikuhitaji na sio siku ya ratiba uliyo mwekea, aende wapi?? Basi mnunulie mdoli uwe unamwekelea nayo iitwe siku ya mdoli.
Pulizo lenyewe la tumate tudoogo tu ka ya nge halafu umeshalala fofofooo kwa uchovu, angojee siku nyingine!! Huu ni uonevu. Huwezi sema ati umemfumania na Hboy wako au gate keeper.
 
Nimatumaini yangu mko wazima wa Afya
Wakuu naombeni ushauri juu ya hili
..Je? Mume na mke kitaalam wanatakiwa wafanye tendo la ndoa marangapi kwa wiki?
..Je? Kwahizo siku ambazo watakuwa wakifanya hilo tendo la ndoa mwanaume anatakiwa kupiga mabao mangapi na je? Kamaatakuwa anapiga moja nakuacha mpaka Siku nyingine kunamadhara gani?
Asanteni naomba kuwasilisha hoja yangu.
Fanya kadri ya uwezo wako mkuu. Hata hourly/daily inapendeza.
 
Kuna madhara hani kupiga bao1 bila kuendelea? Mpaka siku nyingine
Hapa labda liwe la nguvu dk 30-45 na mwanamke apate multiple orgasms. Vinginevyo haipendezi mkuu.
 
Mkuu si umemweka ndani unajipimia tu kiasi cha kukutosha ratiba tena ya nini
 
Nadhani kama ni kweli umeoa basi kuna katatizo kwenye ndoa yako na usipolirekebisha mapema utaaibika mkuu. Kama weye ni mkristo unayeamini Biblia kuwa neno la Mungu, inasema hivi: Msinyimane, mwanamme hana amri juu ya mwili wake na vivyo hivyo mwanamke hana amri juu ya mwili wake. Tena anasema, msinyimane labda kama ni kwa faragha (Maombi/sala). Sasa, kama Mola aliyaona haya ndo maana akaweka angalizo hilo, wewe unasema pulizo moja tu ulale hadi kesho kutwa hii si halali. Je mwenzio akikuhitaji na sio siku ya ratiba uliyo mwekea, aende wapi?? Basi mnunulie mdoli uwe unamwekelea nayo iitwe siku ya mdoli.
Pulizo lenyewe la tumate tudoogo tu ka ya nge halafu umeshalala fofofooo kwa uchovu, angojee siku nyingine!! Huu ni uonevu. Huwezi sema ati umemfumania na Hboy wako au gate keeper.
Jamaa ni mgonjwa huyo na ana upungufu wa nguvu za kiume!!!
 
Kama atakuwa anapiga bao moja kama jogoo kisha anaacha huyo mke wake ataliwa na akina GuDume wa JF!!
 
ile ile siku uliyotoka kuoa, mkeo inabidi aukeshee mpaka itoe moshi, unajua kwanini kuna fungate? yaani mnatulia ka sehem maalumu tulivu, siku mbili mpaka wiki kwa wenye hiyo nafasi, huko ni kula, kupumzika na kubanduana mwanzo mwisho, pia mke mpya halali na chupi, wala wewe hulali na jinz sawa? ni vizuri ukamtia na mimba ndani ya wiki baada ya ndoa itapendeza zaidi
Hahahahaja
 
Kama hilo bao moja umetumia dakika mbili tu ukakojoa na kumuacha mkeo na nyeege zake bila kufika kileleni, hapo madhara yapo tena ni makubwa mno. Ni kwamba atatafuta kidume cha kumkojoza aridhike.

Ila kama hilo bao moja unapiga mzigo nusu saa mpaka mkeo anakojoa mabao kadhaa na hatimae anasema "baba shomvi nimechoka " basi hapo hakuna tatizo.

Aidha, una umri gani mpaka upige goli moja tu? Una kisukari? Una upungufu wa nguvu za kiume??

Kupiga goli moja na kushindwa kurudua tendo ni dalili za upungufu wa nguvu za kiume, Mtafute mzizi mkavu haraka sana!!
Wewe peke ako ndo umemjibu mwana wengin
Wanamchana
 
Umeoa halafu wauliza maswali kama haya!!!!
 
Ha ha ha.... We jamaa unanisababishia watu wazidi kunichukia.... Lakini wananichukia bure tu...mi nawapa mafunzo mazuri.

Kama atakuwa anapiga bao moja kama jogoo kisha anaacha huyo mke wake ataliwa na akina GuDume wa JF!!
 
Wanaume wa daslam asilimia kubwa ni shida sana aiseee,baadhi ya wake zenu walalamika sana unapiga tako mbili hadi tano ushapizi.Ukikuta sms au namba ya cm ya mshikaji unakuwa mbogo.Mwanaume mashine bana acha mambo yako
 
Wenda kapangiwa ratiba na mke wake kwa wiki apige tendo la ndoa Mara 2 tu
 
Back
Top Bottom