SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Kupatwa kwa ndoa!!!!
Hata demu wangu hawezi kunipangia siku za kupiga show!
Sasa mke ndiyo anipe ratiba????
Hakuna suala la ratiba kwenye mahusiano. Maana huwezi zizuia hisia na mihemko ya mwili kwa kusubiria siku ya ratiba.
Na wala hutaweza kushindana na hisia za mapenzi kamwe.