Msaada juu ya tendo la ndoa

Kupatwa kwa ndoa!!!!

Hata demu wangu hawezi kunipangia siku za kupiga show!
Sasa mke ndiyo anipe ratiba????

Hakuna suala la ratiba kwenye mahusiano. Maana huwezi zizuia hisia na mihemko ya mwili kwa kusubiria siku ya ratiba.
Na wala hutaweza kushindana na hisia za mapenzi kamwe.
 
sijajua mtu anaposema tendo la ndoa anamaanisha nini hasa. maana baada ya kufunga ndoa kila mnalo fanya ni tendo la ndoa.. so kuna matendo mengi ya ndoa baada ya ndoa
 
Masikn kijana wawatu unalia tu pole sana jitahidi ndo ukubwa huo..tena kama mkewako nifull nyama utakoma..
 
Kuna madhara hani kupiga bao1 bila kuendelea? Mpaka siku nyingine

Nadhani kama ni kweli umeoa basi kuna katatizo kwenye ndoa yako na usipolirekebisha mapema utaaibika mkuu. Kama weye ni mkristo unayeamini Biblia kuwa neno la Mungu, inasema hivi: Msinyimane, mwanamme hana amri juu ya mwili wake na vivyo hivyo mwanamke hana amri juu ya mwili wake. Tena anasema, msinyimane labda kama ni kwa faragha (Maombi/sala). Sasa, kama Mola aliyaona haya ndo maana akaweka angalizo hilo, wewe unasema pulizo moja tu ulale hadi kesho kutwa hii si halali. Je mwenzio akikuhitaji na sio siku ya ratiba uliyo mwekea, aende wapi?? Basi mnunulie mdoli uwe unamwekelea nayo iitwe siku ya mdoli.
Pulizo lenyewe la tumate tudoogo tu ka ya nge halafu umeshalala fofofooo kwa uchovu, angojee siku nyingine!! Huu ni uonevu. Huwezi sema ati umemfumania na Hboy wako au gate keeper.
 
Fanya kadri ya uwezo wako mkuu. Hata hourly/daily inapendeza.
 
Kuna madhara hani kupiga bao1 bila kuendelea? Mpaka siku nyingine
Hapa labda liwe la nguvu dk 30-45 na mwanamke apate multiple orgasms. Vinginevyo haipendezi mkuu.
 
Mkuu si umemweka ndani unajipimia tu kiasi cha kukutosha ratiba tena ya nini
 
Jamaa ni mgonjwa huyo na ana upungufu wa nguvu za kiume!!!
 
Kama atakuwa anapiga bao moja kama jogoo kisha anaacha huyo mke wake ataliwa na akina GuDume wa JF!!
 
Hahahahaja
 
Wewe peke ako ndo umemjibu mwana wengin
Wanamchana
 
Umeoa halafu wauliza maswali kama haya!!!!
 
Ha ha ha.... We jamaa unanisababishia watu wazidi kunichukia.... Lakini wananichukia bure tu...mi nawapa mafunzo mazuri.


Kama atakuwa anapiga bao moja kama jogoo kisha anaacha huyo mke wake ataliwa na akina GuDume wa JF!!
 
Wanaume wa daslam asilimia kubwa ni shida sana aiseee,baadhi ya wake zenu walalamika sana unapiga tako mbili hadi tano ushapizi.Ukikuta sms au namba ya cm ya mshikaji unakuwa mbogo.Mwanaume mashine bana acha mambo yako
 
Wenda kapangiwa ratiba na mke wake kwa wiki apige tendo la ndoa Mara 2 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…