MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Nimatumaini yangu mko wazima wa Afya
Wakuu naombeni ushauri juu ya hili
..Je? Mume na mke kitaalam wanatakiwa wafanye tendo la ndoa marangapi kwa wiki?
..Je? Kwahizo siku ambazo watakuwa wakifanya hilo tendo la ndoa mwanaume anatakiwa kupiga mabao mangapi na je? Kamaatakuwa anapiga moja nakuacha mpaka Siku nyingine kunamadhara gani?
Asanteni naomba kuwasilisha hoja yangu.