bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana maumivu. Huwa nachukua muda mrefu wa kumuandaa lakn huwa haisaidii. Naomba msaada juu ya kilainishi gani kinachoweza kuongeza utelezi na ulainishi wa uke ili na sisi tulifaidi penzi letu? Naomba msaada wenu.