Msaada juu ya uke wa mke wangu

Msaada juu ya uke wa mke wangu

cha kukusaidia unajua sperms zikiwa ndani zinaongeza size ya penis jitahidi bao la kwanza na la pili ukojoe nje kabla ya kumuingia ukibahatka la tatu zama kabisa ndani ..else tumia dawa ya kimasai ya mkunyati inapunguza size ya machine anachoskia sio maumivu sababu ya saizi ya machine ila mashine yako ikiwa sawa na ya kwakwe raha tu ndio maana wajanja wanaona heri size ya uke iwe kubwa kuliko shamdede mkuu maana kuupunguza uhsmadede inachukua siku kidogo
wacha uongo(upotoshaji) wewee, Wamaasai hawana dawa inayoitwa MKUYATI
 
Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana maumivu. Huwa nachukua muda mrefu wa kumuandaa lakn huwa haisaidii...

Mosi, hayo maandalizi huwa unayafanyaje? isijekuwa maandalizi utuambiayo ni kucheza kombolela au kidalipo...

Pili, je mkeo huwa anajiandaa kiakili? usikute wakati wa malavidavi yeye huwa anawaza habari za kesho atachuma wapi matembele...

Tatu, vipi pafomensi yako ni ya kuridhisha kama Trekta la kilimo kwanza au ni tia maji tia maji kama Trekta la Kobota? inawezekana humkazi vizuti huyo ndio maana mbwembwe zote uzifanyazo kwake anaona kama unacheza makida kwenye tope kiasi kwamba akili yake inaona ngono ni kero tupu...

Nitarudi baadaye, mama watoto ananiita tucheze haka kamchezo kanakokushinda....mai waifu wangu kwa shughuli nimpayo akiniona tu basi wale wadudu wanyevuaji humtembela ghafla...adios!!
 
Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana maumivu. Huwa nachukua muda mrefu wa kumuandaa lakn huwa haisaidii. Naomba msaada juu ya kilainishi gani kinachoweza kuongeza utelezi na ulainishi wa uke ili na sisi tulifaidi penzi letu? Naomba msaada wenu.

kwasnza nakupa pole kwani mapenzi ni kufurahia wote si mmoja.ilo ni tatizo la yy kushindwa kuproduce varginal flukwaiyo hata stimu zake haziwi ktk peak during sex kutokana na virginal kukosa lubricant.na virginal lubricant ni nature sijui mafuta ama nn swala litabaki pale plale kwamba yy hata kuwa anafeel.kuna dawa ya magome ya miti itamsaidia kuongeza uwezo wake wa kuwa na produce iyo fluid maana yenyewe inastimulate na kuongeza ability ya sexual homones kwa mawasiliano have 0719836781 0765666390 dr.sakaingo
 
unaweza ukawa unamuandaa vizuri.....lakini......je wewe......unajiwakilisha vipi.....?.....binafsi mimi kama hunukii vizuri utakaa sana........

Mimi sina tatizo hilo lakini nashukuru kwakuwa umeuliza

Nitarudi baadaye, mama watoto ananiita tucheze haka kamchezo kanakokushinda....mai waifu wangu kwa shughuli nimpayo akiniona tu basi wale wadudu wanyevuaji humtembela ghafla...adios!!

hahahaha Mkuu wewe unahama jukwaa tu lakini upo hapa hapa. Salama lakini Chief? heshima yako
 
asanteni sana wapendwa. Naomba kuuliza kidogo, kati ya ky jelly na olive oil yapi bora zaidi kwa suala langu? Na je hayo mazuri yanapatikana wapi kwenye maduka ya vipodozi au maduka ya madawa?

bro,nenda kwa hospitali ukawaone wataalam watakushauri kuhusu hilo.hiyo michemical unayotaka kumuingizia mkeo ukeni ni hatari tupu.hebu imagine,hiyo michemical ichanganyikane na mbegu zako then ziende kurutubisha yai ili mimba itunge utapata toto la aina gani?unamuathiri mtoto tangu mimba yake inatungwa
 
Asanteni sana wapendwa. Naomba kuuliza kidogo, kati ya KY JELLY NA OLIVE OIL yapi bora zaidi kwa suala langu? Na je hayo mazuri yanapatikana wapi kwenye maduka ya vipodozi au maduka ya madawa?
KY inapatikana katika hospital hutumiwa sana kuingiza catheter kwa wanaume wanapokuwa na tatizo la mkojo
 
Pamoja na mengineyo mpango mzima upo kwenye NGOGWE au NYANYA CHUNGU. Kuleni sana hii kitu inasaidia sana kwa jinsia zote kuzalisha fluids na libido kwa wanawake na sperms kwa wanaume.
 
Mkuu jaribu kumuhoji kwa upole akueleze historia yake alipo kuwa mtoto mdogo, wakati mwingine child abuse huwa zina-contribute kwenye tatizo ili kutokana na ku-feel guilty, kwa hiyo feelings zote zinakuwa shut off kutokana na kukumbuka yaliyowahi kumkumba alipo kuwa mtoto mdogo i.e no sexual feeling/arosal. Narudia kusema kwamba kuna uwezekano huo, sio lazima awe amewahi kuwa-abuse ni maoni tu.
 
Duh! Bro nimekuogopa. Inaonekana una nyoka!!! ka, mpaka shoga hajisikii? Ila usituzingue bana, kwani mkeo ni wa kwanza kumuonja huyo nyoka? Mademu uliowapitia wanasemaje? Tumia ujanja huohuo unaosifiwa huko nje. Acha kutudanganya kama hujui.
 
Imeanza lini hiyo hali? Toka mkiwa uchumbani ama after ndoa? Yawezekana dushelele lako kubwa mkuu alafu hujui jinsi ya kuichezesha mweeh! Cjui nimetukana?!
 
Back
Top Bottom