Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,512 Reaction score 2,712 Jun 21, 2013 #1 Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
M mataka JF-Expert Member Joined Feb 4, 2011 Posts 286 Reaction score 61 Jun 22, 2013 #2 Ruksa hata leo
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Jun 22, 2013 #3 Baada ya siku 40 unaweza kukutana nae ila inategemea na alivyojifungua kama hakukuwa na complications zozote!
Baada ya siku 40 unaweza kukutana nae ila inategemea na alivyojifungua kama hakukuwa na complications zozote!
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,809 Reaction score 2,422 Jun 22, 2013 #4 mmmh! mbona unachelewa miezi 2 unaanza onja kidogo kidogo!