Msaada juu ya unyumba.

Msaada juu ya unyumba.

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,512
Reaction score
2,712
Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
 
Baada ya siku 40 unaweza kukutana nae ila inategemea na alivyojifungua kama hakukuwa na complications zozote!
 
mmmh! mbona unachelewa miezi 2 unaanza onja kidogo kidogo!
 
Back
Top Bottom