MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
- Thread starter
- #21
Alichomwa na Dr.Muuguzi huyu sio mzoefu , hospital nyingi za mtaani wanakosea wanachoma sciatic nerve ...
Alichomwa na dactari au nurse ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichomwa na Dr.Muuguzi huyu sio mzoefu , hospital nyingi za mtaani wanakosea wanachoma sciatic nerve ...
Alichomwa na dactari au nurse ?
Physiotherapy hopefully itamsaidia , .. Though inachukua muda kupona
Pole sana aisee.
Hivi kuna hospitals za mtaani na za msituni?
Maana kila mtu analaumu mahali zilipo hospitals as if kuna vyuo vinafundisha madaktari/manesi kwa ajili ya hizo hospitals za mtaani.
Pole sana lakini hili ni jukwaa la malavidavi
alchomwa kt tako?
Sijui mkuu lakini alienda dispensary ya serikali, ndio maana baadae waka mpa referal
physiotherapy hopefully itamsaidia , .. Though inachukua muda kupona
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu,
Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu. Lakini asubuhi yake binti kachindwa kuamka kitandani wiki ya tatu sasa. Alirudi hospitali daktari. akasema haelewi ni nini kimemkumba, akapewa referal kwenda hospitali ya rufaa nako wakasema hawaoni tatizo.
Lakini binti miguu imetepeta kabisa ingawa anasikia maumivu. Tukashauriwa tuangalie tiba mbadala ambako alipimwa kwa kipimo chao cha kuscan (wasabato) na kapewa dawa na kufanyishwa mazoezi sasa.Kuna maendeleo kidogo kwani angalu ukimsimamisha anaweza kuvumilia sekunde tano hivi. Lakini bado hawezi hata kuchezesha vidole vya miguu.