Msaada: Kachoma sindano hatembei wiki ya tatu sasa

Msaada: Kachoma sindano hatembei wiki ya tatu sasa

Pole sana aisee.

Hivi kuna hospitals za mtaani na za msituni?

Maana kila mtu analaumu mahali zilipo hospitals as if kuna vyuo vinafundisha madaktari/manesi kwa ajili ya hizo hospitals za mtaani.

Sijui mkuu lakini alienda dispensary ya serikali, ndio maana baadae waka mpa referal
 
Kuna nerve inaitwa sciatic imechomwa hapo , km ipo injured sana itamchkua muda kurecover, km unaweza mpeleke kwa physiotherapist na km huna huo uwezo hakiksha anafanya mazoez... Asilale baad ya muda inategmeana madhara ya injury, somtyms inaweza kuchkua miaka
 
Mpeleke pcmc clinic ipo karibu na muhimbili atapimwa kipimo cha nerve conduction studies and emg watajua tatizo
 
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu,

Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu. Lakini asubuhi yake binti kachindwa kuamka kitandani wiki ya tatu sasa. Alirudi hospitali daktari. akasema haelewi ni nini kimemkumba, akapewa referal kwenda hospitali ya rufaa nako wakasema hawaoni tatizo.

Lakini binti miguu imetepeta kabisa ingawa anasikia maumivu. Tukashauriwa tuangalie tiba mbadala ambako alipimwa kwa kipimo chao cha kuscan (wasabato) na kapewa dawa na kufanyishwa mazoezi sasa.Kuna maendeleo kidogo kwani angalu ukimsimamisha anaweza kuvumilia sekunde tano hivi. Lakini bado hawezi hata kuchezesha vidole vya miguu.

Hiyo hali imesababishwa na sindano,hata mim iliwahi nitokea chamsingi ni kumfanyisha sana mazoezi asubuhi na jioni hari itatengemaa wala msije mkaliwa hela,
 
Back
Top Bottom