white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kabla ya kuchangia muwe mnasoma kwanza na kuelewa, mtu ameshasema kuwa wakati wa tukio la kupola hiyo simu, silaha ilitumika, wewe tena unasema tena eti kuna makosa mengine tena?!!wakati adhabu ya wizi wa kutumia silaha ndio hiyo!!Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Mkuu hayo mambo sio rahisi hivyo kama unavyoyafikiria!!!hiyo sio kesi ya kuiba kuku!!au ya kutukana mtu!!wanaweza kuuza vitu na bado ngoma ikawa ngumu, hayo mambo zaidi upate connection na wakubwa ndio huwa rahisi sana.Tafuteni pesa mumtoe gerezani hata kama ni kwa kuuza mali zake kama ana kiwanja/shamba mweke rehani atapambana alipe akitoka
Sjui kasoma Mstari ule wajuu tuKabla ya kuchangia muwe mnasoma kwanza na kuelewa, mtu ameshasema kuwa wakati wa tukio la kupola hiyo simu, silaha ilitumika, wewe tena unasema tena eti kuna makosa mengine tena?!!wakati adhabu ya wizi wa kutumia silaha ndio hiyo!!
Rahisi ni ghali. Ndicho kilichomtokea kaka yako.
Huko huko GEREZANI kuna askari magereza ambao shughuli zao ni kusaidia wafungwa kukata rufaa. Hivyo na wewe mshauri aongee na askari hao wa kitengo cha sheria akate rufaa mahakama kuu.
Mkuu unasema simu zinanunuliwa dukani??Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Ukishaona umepelekwa Mahakamani kwa kesi kubwa jua maelezo ni yako na sahihi ni yakoInamaana walikiri kosa sio
ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.[emoji120]
Amina na ubarikiwe kwa ushauri uliotukutaile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Kaka yako hajafungwa kwa kosa la kuiba simu yeye kafungwa kwa kosa la robbery. Hapa simu haihusiki kwa sababu yeye hakukamata na simu ingawa alinunua simu ya wizi ,tukio la pili la kuibiwa na majambazi wenye silaha ndo kesi yenyewe.
Kitu ambacho ninahisi, maelezo ya kaka yako wenda kukili makosa, hilo ki kosa kubwa kwenye kesi kama hizo.
Nahisi harufu ya kumchongea kesi kuna mtu alikuwa akimtafuta, sasa kapata nafasi.
Kesi kama hizo bila pesa,lazima usote, mambo ya kusema utatokea muujiza sahau.
Weka haki pembeni hilo swala ilibidi mtumie pesa huko police.ilibidi muuze hata kiwanja chake .
Option ilobaki ni kukata rufaa.
Tatizo hamna hela, na kibaya zaid hata hiyo pesa kwa sasa inaweza isisaidie.
Kutokana na imani yangu kichwani nina wazo ambalo ni la kibinadamu zaidi.. Mkifanikiwa kukata rufaaa, angalieni na mazingira mengine kama mtabahatika kupata mtu sahihi. Nimetoa ushauri huu kwa sababu ya experience ya kesi ninazoona mahakamani. Siku ya kusikilizwa rufaa chochote cha weza tokea.life is not fair lazima kuangaika huku na huku.siku zote haki ucheleweshwa
Nb. mimi ni mristo safi nampenda Bwana yesu.
Umasikini mbaya jamani,, yaani nakoswa hata cha kuchangiaile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Kaka yako hajafungwa kwa kosa la kuiba simu yeye kafungwa kwa kosa la robbery. Hapa simu haihusiki kwa sababu yeye hakukamata na simu ingawa alinunua simu ya wizi ,tukio la pili la kuibiwa na majambazi wenye silaha ndo kesi yenyewe.
Kitu ambacho ninahisi, maelezo ya kaka yako wenda kukili makosa, hilo ki kosa kubwa kwenye kesi kama hizo.
Nahisi harufu ya kumchongea kesi kuna mtu alikuwa akimtafuta, sasa kapata nafasi.
Kesi kama hizo bila pesa,lazima usote, mambo ya kusema utatokea muujiza sahau.
Weka haki pembeni hilo swala ilibidi mtumie pesa huko police.ilibidi muuze hata kiwanja chake .
Option ilobaki ni kukata rufaa.
Tatizo hamna hela, na kibaya zaid hata hiyo pesa kwa sasa inaweza isisaidie.
Kutokana na imani yangu kichwani nina wazo ambalo ni la kibinadamu zaidi.. Mkifanikiwa kukata rufaaa, angalieni na mazingira mengine kama mtabahatika kupata mtu sahihi. Nimetoa ushauri huu kwa sababu ya experience ya kesi ninazoona mahakamani. Siku ya kusikilizwa rufaa chochote cha weza tokea.life is not fair lazima kuangaika huku na huku.siku zote haki ucheleweshwa
Nb. mimi ni mristo safi nampenda Bwana yesu.
Tunamsaidieje ndugu yetu
Tanzania imekufa na imefika mwisho!Yaani badala ya kulaani haya mambo ya rushwa kwa nguvu zote unadai kuwa umasikini wa kushindwa kulipa rushwa ni mbaya sana?!Halafu kwenye profile umeweka picha ya Nyerere?Pole sana umasikini mbaya sana
Kuna wanasheria huwa wanatoa msaada wa kisheria bure.. Bado ana nafasi ya kukata rufaa na matokeo yakapinduliwaKwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda Mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili.
Leo ilikuwa siku ya hukumu na imetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nimeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa. Kwa upande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini
Naomba msaada kama kuna utaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Mwache apumzike kule usimgasi gasi! Kwani magereza zimejengwa kwaajili ya kufungia kuku?Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda Mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili.
Leo ilikuwa siku ya hukumu na imetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nimeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa. Kwa upande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini
Naomba msaada kama kuna utaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Hapa usisingizie umaskini kwani kaka yako ana kosa na hiyo adhabu aliyohukumiwa miaka 30 ni sahihi kwa kosa lililotokea haijalishi ni kweli amefanya au kwa kukutwa na simu ya wizi kama ushahidi. Tambua mkamatwa na ngozi ndiye mwizi kisheria.Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa