Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
South Africa, Kenya na dubai. Small parcels tu. Ni from dar and dodoma. Inaweza letwa hata main branch. Sitaki siasa za DHL tu. Vikao sijui nini extra hidden cost hapana