Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.Mungu wangu yaani umekopa bila plan? Ukitoboa mshukuru sana Mungu...
Watakuja wahamasishaji wa kilimo mpaka utajiona milionea
Watakuja washauri wa ufugaji utajiona ulichelewa wapi
Ingia ufanye kwa vitendo...! Hakuna rangi utaacha kuona..
Ok ok sawaNimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.
Pwani kibiti shamba lipo huko.Asante kwa ushauriKilimo inategemea uko wapi. Kuhusu mifugo sijui.
Kama uko karibu na Dar na shamba lako linakubali papai zile ndefu. Utaanza kurudisha hela baada ya mwaka 1. Na pia inategemea wanunuzi watafuata mzigo au utaupeleka. Na usilime ya Kisasa yanataka sana umwagiliaji.
Kwa ujumla hoja yako inahitaji uende "field"kuhusu kulima ,masoko usafiri,aina za udongo zinataka nini na usalama wa mazao, na hivyo hivyo kwa mifugo.
Wewe huna uwezo wa kuchuja pumba na mchele. Shamba umekuwa nalo muda mrefu hamna kitu.Nimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.
una 100%za kupoteza mtaji mpaka sasa,sababu huwa tunaanza kuandaa wazo la biashara kabla ya kutafuta mtajiNdugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
UchujeNimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.
ok sawa sio mgeni sana kwenye kilimo kwani ni mwaka wa pili nalima ufuta sasa nilitaka kubadili kilimo cha msimu niwe nalima hata kiangazi (muda wote.We
Wewe huna uwezo wa kuchuja pumba na mchele. Shamba umekuwa nalo muda mrefu hamna kitu.
Wewe upo pwani ni viziri kujikita mazao ya pwani.ok sawa sio mgeni sana kwenye kilimo kwani ni mwaka wa pili nalima ufuta sasa nilitaka kubadili kilimo cha msimu niwe nalima hata kiangazi (muda wote.
Siku nyingine uwe na shamba sio mbali na Dar, ili mazao yakitoka shamba yaende Buguruni Tandale etc.ok sawa sio mgeni sana kwenye kilimo kwani ni mwaka wa pili nalima ufuta sasa nilitaka kubadili kilimo cha msimu niwe nalima hata kiangazi (muda wote.
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri.Wewe
Wewe upo pwani ni viziri kujikita mazao ya pwani.
Kwa mujibu wa muongozo wa wizars ya kilomo mazao yamegawanywa mara2
1.Mazao ya kudumu korosho,michungwa,minazi,maembe
2.Mazao ya msimu
-mbogamboga zote
- matunda kama matikiti, matango
-mazao ya mzizi ambayo ni mihogo na viazi vitamu.
Fanya cost analysis chagua zao mojawapo.
Shamba ambalo sio mbali na Dar ni vigumu kupatkana na ukipata karibu na Dar hilo sio shamba ni kiwanja.Uf
Siku nyingine uwe na shamba sio mbali na Dar, ili mazao yakitoka shamba yaende Buguruni Tandale etc.
Mi mazao ambayo serikali inapanga bei nayakwepa.
Naweza kupata wapi mongozo huo?Wewe
Wewe upo pwani ni viziri kujikita mazao ya pwani.
Kwa mujibu wa muongozo wa wizars ya kilomo mazao yamegawanywa mara2
1.Mazao ya kudumu korosho,michungwa,minazi,maembe
2.Mazao ya msimu
-mbogamboga zote
- matunda kama matikiti, matango
-mazao ya mzizi ambayo ni mihogo na viazi vitamu.
Fanya cost analysis chagua zao mojawapo.
Fanya uoe kwanza ili mkiwa wawili mnakuwa mmegawana tayari ww utalima mkeo atafugaNdugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Kwema ndugu .Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu wangu yaani umekopa bila plan? Ukitoboa mshukuru sana Mungu.
Watakuja wahamasishaji wa kilimo mpaka utajiona milionea.
Watakuja washauri wa ufugaji utajiona ulichelewa wapi.
Ingia ufanye kwa vitendo!
Hakuna rangi utaacha kuona.