MSAADA: Kati ya kulima au kufuga nianze na kipi?

Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Fuga Kitmoto kama 20 hivi
 
Nimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.
Bora usingejibu kabisa..

Anza na kufuga
 
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Chukua hiyo million 5 irudishe ulipokopa.
 
Back
Top Bottom