Hilo shamba lako ni hekali ngapi kama ningekuwa Mimi nimekopa hiyo pesa ulioyonayo wewe kama shamba ni kubwa yaani heka tano heka moja ningeweka mipapai miatano mbegu ndefu ya miezi sita nitatumia kiasi cha milioni moja yaani mbegu, mbolea, wachimbaji ,na madawa halafu ninafuga mbuzi wa kisasa nenda katafute wale mbuzi wanaozaa pacha mbuzi mmoja kima cha chini laki na nusu 150,000×6=900,000/= yaani mbuzi sita watano majike mmoja dume tengeneza banda la mbuzi la kawaida mpaka kufikia hapo utakuwa kama milioni 2,500,000 umetumia weka benki 1,000,000 ya kuangalia mradi unavyokwenda na marejeo ya mkopo 1,500,000 iliyobakia endelea na kilimo chako cha ufuta pamoja na kungalia mifugo yako inavyoendelea kukua!!!