Ni christian asante kwa ushauri ndugu pumba huku sio changamoto kwani gunia ni buku 10 tuKwema ndugu .
Kama wewe ni Christian then fuga nguruwe na usiajiri mtu be responsible anza na ujenzi wa banda then tafuta chakula na upate mbegu nzuri.
Pia
Usiwekeze pesa yote tenga 1m tu anza kwa udogo ili kujua ufugaji wake upoje .
Serious mkuu umekopa ili ulime?Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Pumba ya aina ganiNi christian asante kwa ushauri ndugu pumba huku sio changamoto kwani gunia ni buku 10 tu
Pambania but sishauri utumie pesa yoteMahindi
Basi sawa. Nikajua huna ABC'sNdio ni mkopo kwa ajili ya kuendeleza shamba langu pamoja nina biashara zingine nafanya.
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Nina zaidi ya ekali 40,asante kwa ushauri kaka.Hilo shamba lako ni hekali ngapi kama ningekuwa Mimi nimekopa hiyo pesa ulioyonayo wewe kama shamba ni kubwa yaani heka tano heka moja ningeweka mipapai miatano mbegu ndefu ya miezi sita nitatumia kiasi cha milioni moja yaani mbegu, mbolea, wachimbaji ,na madawa halafu ninafuga mbuzi wa kisasa nenda katafute wale mbuzi wanaozaa pacha mbuzi mmoja kima cha chini laki na nusu 150,000×6=900,000/= yaani mbuzi sita watano majike mmoja dume tengeneza banda la mbuzi la kawaida mpaka kufikia hapo utakuwa kama milioni 2,500,000 umetumia weka benki 1,000,000 ya kuangalia mradi unavyokwenda na marejeo ya mkopo 1,500,000 iliyobakia endelea na kilimo chako cha ufuta pamoja na kungalia mifugo yako inavyoendelea kukua!!!
Nina biashara nyingine mkuu ndio zimetumika kama dhamana.Samahani kwa kuuliza, hiyo hela umekopa kwa mtu au taasisi ??
Kama ni taasisi, ni ipi hiyo imekupa mkopo bila kujua unafanya kitu gani cha kuweza kufanya marejesho?
Na mimi nahitaji huo mkopo hata mil 3 [emoji1666]
Naweza kupata wapi mongozo huo?
Amechukua alime au afuge wewe unambadilishia plan.kwa nini?[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2296][emoji2296] mil.5 ya mkopo mkuu unataka kuiweka kwenye kilimo na ufugaji
Sio kwamba havilipi!!
Vinalipa lakini ni kama unacheza bahati nasibu
Mimi sio mzoefu lakini ningekushauri kwenye hiyo hela tumia mil.1 pekee hiyo nyingine tafuta wazo la biashara utakalo liamini ufanye.
Humu kuna ule uzi wa waliochukua mkopo wakafanya ndivyo sivyo kama una muda upitie mkuu
Utakusaidia kupata japo mambo mawili matatu
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.