Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Nimekopa kwa ajili ya kilimo na ufugaji na kuendeleza shamba langu.Ila mazao na mifugo ambayo itanipa pesa kwa muda mfupi ndio siyajui.Wao waje tu nami nitachuja pumba na mchele.