Kati ya mechatronics and mechanical Ni bora asome mechatronics .
1. Mechatronics Ni mkusanyiko wa mechanical + electrical and electronics + computer science . Utasoma module tofauti kutokea kwenye sekta hizo .
2. Mechatronics Pia inaendana na revolution ya engineering iliopo . Mfano robotics and artificial intelligence . MTU aliesoma mechatronics Ni rahisi hata kufanya Kazi kwenye sekta hizo kuliko pure mechanical .
Mashine nyingi na system za sasa na zinazoendelea kutengenezwa unakuta Ni full mechatronics.
3. Ukuingia engineering registration board ERB Kuna watu 10 tu ndani ya Tanzania waliosajiliwa na Bachelor of mechatronics engineering. Na hawa wote uhakika hawakusoma Tanzania maana mpaka sasa Ni vyuo viwili tu tz vinavyotoa mechatronics DMI na ATC na vyuo vyote Hakuna graduate waliotoa mpaka sasa. graduate wa mwanzo itakuwa 2023/24. Hivyo Kuna potential kubwa ya ajira ukilinganisha na pure mechanical ambao Kuna graduate Zaidi ya 1000+ waliosajiliwa na bodi
4.. Kati ya DMI na ATC bora ATC kwani kile chuo kina practical nyingi Zaidi ya vyuo vyote vya technical hapa tz . Na hata mashine walizokuwa nazo Kuna baadhi zipo pale tu ATC. Advantage ya DMI , utasoma Artificial intelligence as module katika mechatronics . ATC bado hawajaweka prospectus yenye modules za mechatronics so Ni ngumu kujua utakutana na nini kwenye module .
5. Advantage nyengine ya ATC ndani ya mechatronics utapata kusoma latest technology sababu ile Kizo IPO sponsored na vyuo vya nje vya South Korea . Tembelea ATC website kwa maelezo Zaidi .