Pia kuhusu ajira hii mechatronics Ina opportunity nyingi kuliko Iyo mechanical tunayosema . MTU WA mechatronics anafanya Kazi za software , embedded system , electronics , mechanical . Tofauti na mwenye pure mechanical uwanja wake sio mpana kama huyu . Na ubaya kwa hapa tz mitaala yetu ya mechanical ndio ileile waliosoma 2007 mpaka Leo WALA haina update yeyote. Ni bora tu usome hii mechatronics mitaala mpya unaoendana na wakati
ndugu yangu utamponza jamaa yetu anayeomba ushauri.coz ya mechatronics bado ni ngen Tanzania hivyo unavyo mwambia atawez kuwa na uwanja mpana wa ajira sio kwel.
naomba nikuulize swali tu moja kwamba una mtu wa mecharonics alaf una mtu wa software engineering.alf kazi ni ya software je utampa nani kipaumbele kati ya hao wawil.
ni kwel mechatronics n mult disciplinary lakin unakua partia partial kila sehem ndugu yako bora ukachagua mechanical tu.ushairi wa bure
[/QUOTE]
Swali Zuri Sana na nitakupa mfano hai iliopo hapa tz kwetu. Kuna mtz mwenzetu kasoma Iyo degree ya mechatronics nje na saivi ameajiriwa na serikali ya JMT na Kazi yake Ni speech to text technology . Ni technology ambayo inasikiliza sauti na kuandika maneno. Hii Ni Kazi ya software pure lakini jiulize kwa nini anafanya MTU WA mechatronics wakati wapo graduate tz WA software. Hii kazi inahitaji kujua latest technology kama NLP natural language processing , Deep learning, AI . Kitu ambacho kwa graduate wetu tz Ni ngumu kuwaeffective kwenye hizo sekta .
Kwa Iyo Ni bora kusoma Iyo mechatronics kuliko pure mechanical atapata kujua baadhi ya hizi technology zinazoendelea kuliko kusoma mechanical ambayo mitaala wake mavyuoni haujabadilika tokea uyo lecture anasoma mpaka yeye anakusomesha .
Tusikariri kila MTU mechanical mechanical tukaacha new technology na innovation zinazoendelea kwa kujidanganya hapa tz Hakuna ajira zake .
Nakupa mfano hai mwengine viwanda vingi vya bakhresa ameajiri wakenya kwa hii mechatronics . Sisi tuendelee kukariri mechanical tu . Na Kuna dogo wa must diploma kapata Maokoto Yuko huko huko na mechatronics diploma . Sio Kazi hazipo ila hatujasomea hizo Kazi.
Jaalia Wewe Ni HR , je utaajiri MTU mwenye skill moja tu mfano mechanical, electrical , instrumentation na ukaacha MTU aliesoma mechatronics anaejua na kuwa na idea na hizo skills zote ?. Na yeye Ni rahisi kumpa training akawa kiraka sehemu zote Izzo .