TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
mimi nina kipaji cha ubunifu katika teknolojia,nina diploma kadhaa,na bachelor moja,napata shida sana katika kutafuta watu wakuniundia infrastructure za mawao yangu nimeamua nikasome mwenyewe,sifikirii kuajiriwa ,tayari ni mjasiriamali ninayeanza kukuaHiyo kozi imekaa vizuri kwenye kujiajiri, kuajiriwa sio sana maana waajiri wakuu ni hii mitandao kama voda, airtel nk nk! Japo kama ukipata upenyo umeupata kweli kweli! Pia serikalini sijawahi ona kazi zao japo kuna uwezekano zipo!
Ila kama una nia ya kujiajiri na ukiwa smart na kuelewa utachofundishwa kasome! Hutalala njaa mtaani..
NB: kama ndio unajiandaa kuapply soma post yangu namba 5 na 21 hapo juu.