Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

Hiyo kozi imekaa vizuri kwenye kujiajiri, kuajiriwa sio sana maana waajiri wakuu ni hii mitandao kama voda, airtel nk nk! Japo kama ukipata upenyo umeupata kweli kweli! Pia serikalini sijawahi ona kazi zao japo kuna uwezekano zipo!

Ila kama una nia ya kujiajiri na ukiwa smart na kuelewa utachofundishwa kasome! Hutalala njaa mtaani..

NB: kama ndio unajiandaa kuapply soma post yangu namba 5 na 21 hapo juu.
mimi nina kipaji cha ubunifu katika teknolojia,nina diploma kadhaa,na bachelor moja,napata shida sana katika kutafuta watu wakuniundia infrastructure za mawao yangu nimeamua nikasome mwenyewe,sifikirii kuajiriwa ,tayari ni mjasiriamali ninayeanza kukua
 
Ni chaguo zuri, kila la heri!

Kama shida yako ni electronics unaweza somea degree ya electronics ya miaka 3 ipo udsm.. au kama unapenda ya engineering ipo udsm na dit
 
Na kwenhe hizo kozi 3 nilizo mtajia namuonhezea na hizi..

4. Architecture

5. Quantity Survey

Na kama anapenda mambo technology akasome moja kazi ya hizi..(kama sio mtu wa kujisomea asiguse hii route)..

1. Software Engineering

2. Computer engineering

3. Computer science!
kumbe Computer Science sio mchezo
naomba kuuliza mashirika hasa ya serikali pamoja na binafsi ambayo ni potential sana kufanya field za Computer science kwa mwanafunzi
 
kwel kabisa graduater wa mechatronic atakutana na uhalisia ambao utamshangaza.maana sis bado kwa kwel tuko ulimwengu wa tatu na sehemu pekee ya mechatronics engineer kuonesha ujuz wake n kiwandan.na kwa uhalisia viwanda ambavyo viko automated n vichache sana

Kijan mi nimesoma Mechanical engineering.kwo nakushauri soma bachelor ya koz mama kwanza then ukitaka kusom masters then kasome mechatronics

kama kwel una nia ya kusoma mechatronics bas usiiahi Africa uende ukaishi nchi za ulimwengu wa 1 ndo utainjoy fun yako

jambo kubwa la kunote ni kwamba sawa utasoma courses nying kwenye mechatronics lakin utakua partial kila sehemu
Hapa nakubaliana na wewe , soma mechatronics lakini usiendelee kuishi huu ulimwengu wa tatu utakua disappointed saana.
 
Na kwenhe hizo kozi 3 nilizo mtajia namuonhezea na hizi..

4. Architecture

5. Quantity Survey

Na kama anapenda mambo technology akasome moja kazi ya hizi..(kama sio mtu wa kujisomea asiguse hii route)..

1. Software Engineering

2. Computer engineering

3. Computer science!
Hivi serikali inatoaga ajira za maArchitect kweli??
 
Kozi IT ukiwa vizuri kichwani hata usipoajiriwa ni rahisi kujiajiri. Ila lazima uwe vizuri. Sio umemaliza IT au CS au SE alafu huwezi kuunda hata software ya komputa.
kumbe Computer Science sio mchezo
naomba kuuliza mashirika hasa ya serikali pamoja na binafsi ambayo ni potential sana kufanya field za Computer science kwa mwanafunzi
 
Umetoa mchango mzuri sana! Na nnakubaliana na wewe hapo kwenye masters maana mechatronics ni mtoto wa mechanical na eletrical!

Shida vijana wanachagua kozi kwa mihemko hawajui uhalisia uliopo mtaani (japo siwalaumu).

Unakuta mtu anaangalia youtube jinsi maroboti yanafanya kazi anadhani ndio mambo yalivyo hapa bongo! Anasoma akimaliza anakutana na kitu kinaitwa stess!

All in all, kama kijana ana connection au ni kitu anakipenda kutoka moyoni yaani passion ya kweli kweli akasome maana haya maisha sometimes ni bahati!
Kaka Umeongea uhalisia sana yaan wengine toka tumalize engineer diploma atuna hata pakujichomeka mkuu ata sielew niombe mkopo nirudi bachelor au niendelee kukaza kitaa dah
 
Kaka Umeongea uhalisia sana yaan wengine toka tumalize engineer diploma atuna hata pakujichomeka mkuu ata sielew niombe mkopo nirudi bachelor au niendelee kukaza kitaa dah
We jamaa umeshindwa hata kufungua kijiwe cha ufundi bicycle na simu na tv
 
We jamaa usipotezwe na hao wajiriwa wa serikali Wanao kushauri hapo juu. Katika ulimwengu huu wa kujipambania hakihakisha unajua vitu vingivingi kadri ya uwezo. Mm kuhusu mechanical sikushauli Kwa Sababu watu ni wengi kwenye hiyo kozi na pia kwenye kujiajiri na kuajiri hio mechanical Ina watu hata walio jifunzia mitaani ukiingia Kwa makampuni ya wachina wanajiri mafundi Kwa matokeo sio vyeti. Hafu bongo hii hamna mainjinia Bali kuna mafundi so ukisoma mechatronics unaweza kua na uwanja mpana wa kujiajiri kwenye fani tatu Kwa mpigo achana na wajiriwa wa serikali huko hakuna Hela mtaani ndio kuna Hela na Ili upate hela uwe mpana kimaarifa.
 
Tanzania bado kuna uwaba sana wa mafundi wa magari
 
Back
Top Bottom