Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

Kwakuwa inahusisha mechanical, electrical, electronic na computer engineering nadhani anayesoma atakuwa wide na kufit kwenye sector/nyanja nyingi za ajira.
Hata mechanical anagusa mambo ya electrical (mfano kuchagua mota inayo faa kwenye mashine flani) pia anagusa mambo ya computer mfano kutumia C programming kuandaa code kwa ajili ya automation nk nk
 
Kwanza kusajiliwa ERB haijutaji ajira. Wapo technicians tele waliosajiwa wengine wanasoma Bachelor mavyuoni na wengine wapo na pirika zao kama ajira na mengineyo. Hata ukimaliza na Bachelor ERB inakusajili kama graduate engineer ila kupanda rank lazima uwe umesajiliwa .

Pia haina maana kama kozi haitolewi udsm au Udom ndio haina maana . Kumbuka Pia udsm ilishawahi kuwa na kozi kama hii ila wakaifunga kutokana na graduate wabovu. Ukweli kila MTU anajua udsm Ni theory tupu na porojo . Ukifuatilia kulikuwa na Bachelor of electromechanical udsm . Ila graduate wake walikuwa zero mpaka wakasitisha mpaka sasa .

Mfano . Bachelor of biomedical IPO muhas na ATC tu hapa tz . Ina potential kubwa na mbona udsm na Udom hawana ? Sio kila kozi ambayo haipo udsm na Udom kwamba haina maana .

Ukiangalia mechatronics Ni kozi mpya hata huko nchi. Nyengine hii kozi imeanza miaka ya 2010 na kuendelea na muda wote huo Ni Kenya tu Africa mashariki nzima ndio iliyokuwa na Bachelor ya hii kozi .

Na Kuna kozi nyingi ambazo Ni specialization ya hizo kozi tulizozizoea zinasomeshwa na vyuo vingine na sio udsm WALA Udom
Mfano Bachelor of data science inayotolewa must na east Africa statistic dar. Pia kina chuo IIT madras ya India imeanzisha branch yake mpya Africa ambayo itakuepo Zanzibar . Na wanaanza mwaka huu mwezi wa 10 na wanayo Bachelor of data science and artificial intelligence . Je , utamzuia au kutomshauri MTU kusoma hizo new technology kwa kuwa udsm and Udom hawana ?

Pia kuhusu ajira hii mechatronics Ina opportunity nyingi kuliko Iyo mechanical tunayosema . MTU WA mechatronics anafanya Kazi za software , embedded system , electronics , mechanical . Tofauti na mwenye pure mechanical uwanja wake sio mpana kama huyu . Na ubaya kwa hapa tz mitaala yetu ya mechanical ndio ileile waliosoma 2007 mpaka Leo WALA haina update yeyote. Ni bora tu usome hii mechatronics mitaala mpya unaoendana na wakati
 
Ninachoongelea ni kusajiliwa kama professional Engineer na sio graduate engineer. Na ndio mada ilikua ime center katika angle hiyo.
 
Pia kuhusu ajira hii mechatronics Ina opportunity nyingi kuliko Iyo mechanical tunayosema . MTU WA mechatronics anafanya Kazi za software , embedded system , electronics , mechanical . Tofauti na mwenye pure mechanical uwanja wake sio mpana kama huyu . Na ubaya kwa hapa tz mitaala yetu ya mechanical ndio ileile waliosoma 2007 mpaka Leo WALA haina update yeyote. Ni bora tu usome hii mechatronics mitaala mpya unaoendana na wakati[/QUOTE]


ndugu yangu utamponza jamaa yetu anayeomba ushauri.coz ya mechatronics bado ni ngen Tanzania hivyo unavyo mwambia atawez kuwa na uwanja mpana wa ajira sio kwel.
naomba nikuulize swali tu moja kwamba una mtu wa mecharonics alaf una mtu wa software engineering.alf kazi ni ya software je utampa nani kipaumbele kati ya hao wawil.

ni kwel mechatronics n mult disciplinary lakin unakua partia partial kila sehem ndugu yako bora ukachagua mechanical tu.ushairi wa bure
 


ndugu yangu utamponza jamaa yetu anayeomba ushauri.coz ya mechatronics bado ni ngen Tanzania hivyo unavyo mwambia atawez kuwa na uwanja mpana wa ajira sio kwel.
naomba nikuulize swali tu moja kwamba una mtu wa mecharonics alaf una mtu wa software engineering.alf kazi ni ya software je utampa nani kipaumbele kati ya hao wawil.

ni kwel mechatronics n mult disciplinary lakin unakua partia partial kila sehem ndugu yako bora ukachagua mechanical tu.ushairi wa bure
[/QUOTE]
Swali Zuri Sana na nitakupa mfano hai iliopo hapa tz kwetu. Kuna mtz mwenzetu kasoma Iyo degree ya mechatronics nje na saivi ameajiriwa na serikali ya JMT na Kazi yake Ni speech to text technology . Ni technology ambayo inasikiliza sauti na kuandika maneno. Hii Ni Kazi ya software pure lakini jiulize kwa nini anafanya MTU WA mechatronics wakati wapo graduate tz WA software. Hii kazi inahitaji kujua latest technology kama NLP natural language processing , Deep learning, AI . Kitu ambacho kwa graduate wetu tz Ni ngumu kuwaeffective kwenye hizo sekta .
Kwa Iyo Ni bora kusoma Iyo mechatronics kuliko pure mechanical atapata kujua baadhi ya hizi technology zinazoendelea kuliko kusoma mechanical ambayo mitaala wake mavyuoni haujabadilika tokea uyo lecture anasoma mpaka yeye anakusomesha .
Tusikariri kila MTU mechanical mechanical tukaacha new technology na innovation zinazoendelea kwa kujidanganya hapa tz Hakuna ajira zake .

Nakupa mfano hai mwengine viwanda vingi vya bakhresa ameajiri wakenya kwa hii mechatronics . Sisi tuendelee kukariri mechanical tu . Na Kuna dogo wa must diploma kapata Maokoto Yuko huko huko na mechatronics diploma . Sio Kazi hazipo ila hatujasomea hizo Kazi.
Jaalia Wewe Ni HR , je utaajiri MTU mwenye skill moja tu mfano mechanical, electrical , instrumentation na ukaacha MTU aliesoma mechatronics anaejua na kuwa na idea na hizo skills zote ?. Na yeye Ni rahisi kumpa training akawa kiraka sehemu zote Izzo .
 
MTU WA mechatronics anafanya Kazi za software , embedded system , electronics , mechanical .
nimecheka kwa nguvu sana
achana na Google njoo kwenye uhalisia, mechatronics kwa Bongo bado sana

eti anafanya kazi za software, embedded, electronics na mechanical, thubutu, kwa Bongo hii HAIPO

achukue mechanical, mechatronics kwa Tz ni nyoso
 
Jundullah 7e153nrdyyf

Ndio mara ya kwanza naskia ajira za mechatronics zimetolewa serikalini!

Hapa tunachoongelea ni possibility au probability ya kutoboa na sio kaajira kamoja ambako hatuna uhakika kama kweli imewahi tolewa serikalini!

Tukibaki hapo hapo serikalin, je kwa kipindi cha miaka 10 iliyo pita ni ajira ngapi zimetolewa na serikali au makampuni binafsi kwenye kozi mfano ya civil na kozi ya mechateonics?

Ni ipi ilikua na ajira ajira nyingi zilizo tangazwa serikalini na private companies kuliko ingine?
 
Ndugu yangu skiaa kama unasoma ili uje upate chochote kitu hapa Tz angalia kati ya izo 3 hapo juu, ila kama unasoma ilimradi usome tu piga mechatronic ilaa baadae usijee ukailaumu serikali tu kijanaaa...[emoji111]
 


ndugu yangu utamponza jamaa yetu anayeomba ushauri.coz ya mechatronics bado ni ngen Tanzania hivyo unavyo mwambia atawez kuwa na uwanja mpana wa ajira sio kwel.
naomba nikuulize swali tu moja kwamba una mtu wa mecharonics alaf una mtu wa software engineering.alf kazi ni ya software je utampa nani kipaumbele kati ya hao wawil.

ni kwel mechatronics n mult disciplinary lakin unakua partia partial kila sehem ndugu yako bora ukachagua mechanical tu.ushairi wa bure
[/QUOTE]



thubutu! software development yenyewe kipengele, lazima mtu awe specialized huko bado aujagusa hayo ma embedded system. Siyo rahisi san siku hizi kuwa multipurpose katika fani za technilogia unless usome I.T ambayo unakuwa kama fundi tu,
 
Una kitu. Utafika mbali.

Aende na hili.
 
Kaka mi nimesoma iyo mechatronics diploma barchelor nkabadilisha kiukweli ni kozi ndogo,inakuwa marketed kama multidisciplinary lakini kiukweli inahusiana na automation tu ambayo ni kipande kidogo sana na Tanzania hiyo mechatronic unaomba kazi hadi umuelezee muajiri wako kozi inahusiana na nn. Baada ya research ya kutosha nilifikia conclusion kuwa kweli duniani kozi za enfineering ni nne tu
i. Electrical
ii mechanucal
iii. Civil
. Na chemical engineering hayo mengine yote ya sijui biomedical ni kujichanganya kwa kuwa kwa mfano iyo biomedical miaka yote vifaa vya hospitali vilikuwa vinatengenezwa na electrical engineers
 
Nimemshauri na mimi kitu hicho hicho kwenye post #5 hapo juu. Shida watu wanavutiwa na majina na kuangalia google badala ya uhalisia field.
 
Vipi kuhusu ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING?
 
vIPI KUHUSU ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING?
 
vIPI KUHUSU ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING?
Hiyo kozi imekaa vizuri kwenye kujiajiri, kuajiriwa sio sana maana waajiri wakuu ni hii mitandao kama voda, airtel nk nk! Japo kama ukipata upenyo umeupata kweli kweli! Pia serikalini sijawahi ona kazi zao japo kuna uwezekano zipo!

Ila kama una nia ya kujiajiri na ukiwa smart na kuelewa utachofundishwa kasome! Hutalala njaa mtaani..

NB: kama ndio unajiandaa kuapply soma post yangu namba 5 na 21 hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…