Msaada Kati ya Toyota Platz, Betlta na Vitz

Msaada Kati ya Toyota Platz, Betlta na Vitz

Zote ni nzuri tu. Mtu ambaye hajawahi kununua au kumiliki gari utamuona ana disi sana.

Ni aidha wewe aina fulani huipendi na unapenda aina nyingine lakini sio kuponda eti ile ni gari gani, ile takataka. Ukiona hivyo huyo hajawahi kununua gari.

Thanks sana Mkuu kwa ushauri,umenipa Moyo.
 
hivi mtu ana ujasiri gani wa kuziita gari zingine eti takataka,au za kimaskini,wakati zinamilikiwa na watu pengine wenye hela kuliko yeye,dharau sio nzuri...
 
Back
Top Bottom