Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
- Thread starter
- #21
Zote ni nzuri tu. Mtu ambaye hajawahi kununua au kumiliki gari utamuona ana disi sana.
Ni aidha wewe aina fulani huipendi na unapenda aina nyingine lakini sio kuponda eti ile ni gari gani, ile takataka. Ukiona hivyo huyo hajawahi kununua gari.
Thanks sana Mkuu kwa ushauri,umenipa Moyo.