Msaada katika hii kesi ya Wizi

Msaada katika hii kesi ya Wizi

entry

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
286
Reaction score
539
Usiku wa kuamkia jumapili nilienda kwenye sherehe ya jamaa angu alikuwa anaoa nyumbani nilimuacha mdogo wangu, Ilivyofika usiku nikamuagiza dogo aje kama anaona yupo bored.

Asubuhi tunarudi nilipopanga nakuta pamevunjwa na nimeibiwa baadhi ya mali zangu (risiti original nnazo), nikauliza imekuaje kwa majirani majibu yao yakawa (tumeona asubuhi papo wazi) nikaenda kituo cha polisi nikapewa RB, kesho yake jumatatu nikiwa najiandaa kwenda kazini nikafatwa na balozi pamoja na mwenye nyumba wakaniambia kuna mtu wanamuhisi twende tukamkamate.

Kweli tukafanikiwa kumdaka na akakiri kituoni kuhusika na tukio hilo akatupeleka hadi sehemu ya tukio alipoficha vitu tukavikosa.

Kesi ipo mahakamani sasa naomba msaada wa kisheria katika haya-

1. Nitatoboa katika hili maana sina experience yeyote na case wala mahakama yaani nimejawa hofu tu ya kufika mahakamani.

2. Siwezi kumtia kwenye mahangaiko huyu mdogo wangu maana yeye ndie wa mwisho kufunga mlango.

Nawasilisha
 
hakuna kesi hapo. Vitu vinavyodaiwa kuibiwa havipo mtathibitisha vipi ikiwa kinachosemwa kimeibiwa hakipo.
 
Kesi kama hii hakuna haja ya kwenda mahakamani ni kupoteza muda tu,kesi kama hii inafaa kuishia polisi au kwa viongozi wa mtaa muhusika ajicommit tu kwamba atavirudishaje hivyo vitu au atavilipaje baada ya hapo unaendelea na mambo yako.
 
Kwa utaratibu wa uendeshaji kesi wa mahakama zetu asa hizi za mwanzo i bet mwisho wa siku utakuja kuona unapoteza tu muda wako nashauri kama ingewezekana ungeongea vizuri na polis huyo kibaka angebanwa mpaka angetaja hizo mali zilipo au walipouza advantage kwa kuwa yeye mwenyewe amekili kufanya wizi. Pole sana hao watu wanarudisha nyuma sana maendeleo ya watu
 
Hapo Mkuu kwanza kesi yako ipo Mahakama ipi?, ya mwanzo au wilaya kwenda juu?. Kama ipo Mahakama.ya Mwanzo hakikisha unafungua kesi wewe dhidi ya huyo mshukiwa wako iwe ni kesi ya jinai.

Baada ya hapo kuwa.na mashahidi muhimu tano ambao watakuwa ni wewe mwenyewe utakayesema mali zilizoibiwa.na kutoa risiti za manunuzi kuthibitisha umiliki wako, mdogo wako ambaye atathibitisha kutoka huo usiku na kufunga mlango, huyo balozi wenu na mwenyekiti mtaa watathibitisha kupokea lalamiko na kumkamata mshukiwa, askari polisi aliyemchukua maelezo atathibitisha kukiri kwa huyo mtuhumiwa.

Sasa ni namna gani utaweza yote hayo kwanza tambua.Mahakamani hakuhitaji stori nyingi, wewe toa maelezo yaliyojitosheleza na muhimu usiweke stori na epuka neno 'nilisikia' liepuke sana tena sana, waambie na mashahidu wako wasilitumie ilo neno bali watumie maneno kama niliona, nilikuwepo n.k

Mahakamani kesi yako itaitwa, hakimu atasoma faili la mashtaka kisha atakuuliza kama una mashahidi na mpo tayari kusikilizwa kesi, utamjibu kama wapo wote au wachache na kama mpo tayari kusikilizwa kesi.

Mtuhumiwa ataulizwa pia maswali hayo akisema yupo tayari basi mtaanza sikilizwa mashahidi wakwanza hadi wa mwisho upande wako mshitaki.

Kumbuka kila baada ya shahidi kukamilisha ushahidi wake mtuhumiwa.atapewa nafasi ya kuuliza maswali, usi paniki kabusa ukiulizwa maswali na sisitiza kile ulichosema mwanzo uwaeleze hili na mashahidi wako pia. (Kuhusu maswali na namna ya kutoa ushahidi wako nitumie namba nikupigie unieleze kesi yako vizuri ili na mimi nikuelekeze vyema hapa uzi utakuwa mrefu sana Mkuu).

Jambo lingine hakikisha unaposema kuwa.una mali mfano Tv toa risiti na uiombe Mahakama iipokee kama kielelzo (haya maneno yashike).

Mkuu kama utakuwa na swali uliza ili tusipoteane maana naona uzi unakuwa mrefu sana.
 
hakuna kesi hapo. Vitu vinavyodaiwa kuibiwa havipo mtathibitisha vipi ikiwa kinachosemwa kimeibiwa hakipo.
Mkuu usichanganye.kesi ya.mauaji ambayo ndio inahitaji uwepo wa maiti ya anayesemwa kuuliwa na hizi jinai nyingine. Inawezekana mali imeuzwa usikariri, kinachohitajika ni kuthibitisha tu bila kuacha mashaka kuwa kweli mali iliibiwa na mwizi ni fulani period
 
Hapo Mkuu kwanza kesi yako ipo Mahakama ipi?, ya mwanzo au wilaya kwenda juu?. Kama ipo Mahakama.ya Mwanzo hakikisha unafungua kesi wewe dhidi ya huyo mshukiwa wako iwe ni kesi ya jinai.

Baada ya hapo kuwa.na mashahidi muhimu tano ambao watakuwa ni wewe mwenyewe utakayesema mali zilizoibiwa.na kutoa risiti za manunuzi kuthibitisha umiliki wako, mdogo wako ambaye atathibitisha kutoka huo usiku na kufunga mlango, huyo balozi wenu na mwenyekiti mtaa watathibitisha kupokea lalamiko na kumkamata mshukiwa, askari polisi aliyemchukua maelezo atathibitisha kukiri kwa huyo mtuhumiwa.

Sasa ni namna gani utaweza yote hayo kwanza tambua.Mahakamani hakuhitaji stori nyingi, wewe toa maelezo yaliyojitosheleza na muhimu usiweke stori na epuka neno 'nilisikia' liepuke sana tena sana, waambie na mashahidu wako wasilitumie ilo neno bali watumie maneno kama niliona, nilikuwepo n.k

Mahakamani kesi yako itaitwa, hakimu atasoma faili la mashtaka kisha atakuuliza kama una mashahidi na mpo tayari kusikilizwa kesi, utamjibu kama wapo wote au wachache na kama mpo tayari kusikilizwa kesi.

Mtuhumiwa ataulizwa pia maswali hayo akisema yupo tayari basi mtaanza sikilizwa mashahidi wakwanza hadi wa mwisho upande wako mshitaki.

Kumbuka kila baada ya shahidi kukamilisha ushahidi wake mtuhumiwa.atapewa nafasi ya kuuliza maswali, usi paniki kabusa ukiulizwa maswali na sisitiza kile ulichosema mwanzo uwaeleze hili na mashahidi wako pia. (Kuhusu maswali na namna ya kutoa ushahidi wako nitumie namba nikupigie unieleze kesi yako vizuri ili na mimi nikuelekeze vyema hapa uzi utakuwa mrefu sana Mkuu).

Jambo lingine hakikisha unaposema kuwa.una mali mfano Tv toa risiti na uiombe Mahakama iipokee kama kielelzo (haya maneno yashike).

Mkuu kama utakuwa na swali uliza ili tusipoteane maana naona uzi unakuwa mrefu sana.
Umempa ushauri mzuri
 
Baada ya kukiri mngefanya utaratibu kumnywesha cement ingekorogwa Kama nusu Lita mnamsimamia anywe harafu mnamwambia aondoke kwa mwendo wa haraka kabisa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hapo Mkuu kwanza kesi yako ipo Mahakama ipi?, ya mwanzo au wilaya kwenda juu?. Kama ipo Mahakama.ya Mwanzo hakikisha unafungua kesi wewe dhidi ya huyo mshukiwa wako iwe ni kesi ya jinai.

Baada ya hapo kuwa.na mashahidi muhimu tano ambao watakuwa ni wewe mwenyewe utakayesema mali zilizoibiwa.na kutoa risiti za manunuzi kuthibitisha umiliki wako, mdogo wako ambaye atathibitisha kutoka huo usiku na kufunga mlango, huyo balozi wenu na mwenyekiti mtaa watathibitisha kupokea lalamiko na kumkamata mshukiwa, askari polisi aliyemchukua maelezo atathibitisha kukiri kwa huyo mtuhumiwa.

Sasa ni namna gani utaweza yote hayo kwanza tambua.Mahakamani hakuhitaji stori nyingi, wewe toa maelezo yaliyojitosheleza na muhimu usiweke stori na epuka neno 'nilisikia' liepuke sana tena sana, waambie na mashahidu wako wasilitumie ilo neno bali watumie maneno kama niliona, nilikuwepo n.k

Mahakamani kesi yako itaitwa, hakimu atasoma faili la mashtaka kisha atakuuliza kama una mashahidi na mpo tayari kusikilizwa kesi, utamjibu kama wapo wote au wachache na kama mpo tayari kusikilizwa kesi.

Mtuhumiwa ataulizwa pia maswali hayo akisema yupo tayari basi mtaanza sikilizwa mashahidi wakwanza hadi wa mwisho upande wako mshitaki.

Kumbuka kila baada ya shahidi kukamilisha ushahidi wake mtuhumiwa.atapewa nafasi ya kuuliza maswali, usi paniki kabusa ukiulizwa maswali na sisitiza kile ulichosema mwanzo uwaeleze hili na mashahidi wako pia. (Kuhusu maswali na namna ya kutoa ushahidi wako nitumie namba nikupigie unieleze kesi yako vizuri ili na mimi nikuelekeze vyema hapa uzi utakuwa mrefu sana Mkuu).

Jambo lingine hakikisha unaposema kuwa.una mali mfano Tv toa risiti na uiombe Mahakama iipokee kama kielelzo (haya maneno yashike).

Mkuu kama utakuwa na swali uliza ili tusipoteane maana naona uzi unakuwa mrefu sana.
Ubaya wa kesi za jinai ni kuwa PW1 hawezi kupata vitu vyake.. ataishia kumfunga tu mtuhumiwa maana kesi ni ya public v. Mtuhumiwa..

Ni kheri angesalia polisi wakamalizana na mtuhumiwa kwa kurudisha mali zake kwa makubaliano maalum..
 
Kesi tarehe 9 inamaana niwe na mashahidi kabisa au niende mwenyewe
 
Kesi ipo mahakama ya mwanzo
 
Kwa utaratibu wa uendeshaji kesi wa mahakama zetu asa hizi za mwanzo i bet mwisho wa siku utakuja kuona unapoteza tu muda wako nashauri kama ingewezekana ungeongea vizuri na polis huyo kibaka angebanwa mpaka angetaja hizo mali zilipo au walipouza advantage kwa kuwa yeye mwenyewe amekili kufanya wizi. Pole sana hao watu wanarudisha nyuma sana maendeleo ya watu
Hata hivyo rasimali zinapotea kweli ila nikiacha nahisi nitakuwa matatizoni labda mahakama ikaona nimesumbua wakanibana
 
Itategemea na maombi yake,
Ubaya wa kesi za jinai ni kuwa PW1 hawezi kupata vitu vyake.. ataishia kumfunga tu mtuhumiwa maana kesi ni ya public v. Mtuhumiwa..

Ni kheri angesalia polisi wakamalizana na mtuhumiwa kwa kurudisha mali zake kwa makubaliano maalum..
Itategemea na maombi yake ikizingatiwa ni Mahakama ya mwanzo kesi nyingi ni jinai ila zina umadai ndani yake. Anaweza kabisa kuvipata kutegemea na amri itakayotolewa na Mahakama.

Si umewahi kuona kesi za jinai ndani zina fidia, basi hata kupata mali zake inawezekana japo zinaweza zisiwe zile zile ila Mtuhumiwa anaweza amriwa kurudisha aluvyoiba, sasa hapo asipopata vitu vyake ataomba kutekeleza sehemu hiyo ya hukumu kimadai.
 
Mahakama ya mwanzo siku kesi inatajwa ndio hiyo hiyo siku ya kusikilizwa.

Kwani witounasema hiyo tarehe 9 mnaenda kufanya nini Mkuu?. Muhimu andaa mashahidi wako wakae tayari tayari.
 
Sawa
 
Itategemea na maombi yake,

Itategemea na maombi yake ikizingatiwa ni Mahakama ya mwanzo kesi nyingi ni jinai ila zina umadai ndani yake. Anaweza kabisa kuvipata kutegemea na amri itakayotolewa na Mahakama.

Si umewahi kuona kesi za jinai ndani zina fidia, basi hata kupata mali zake inawezekana japo zinaweza zisiwe zile zile ila Mtuhumiwa anaweza amriwa kurudisha aluvyoiba, sasa hapo asipopata vitu vyake ataomba kutekeleza sehemu hiyo ya hukumu kimadai.
Inawezekana lakini anatakiwa nawe makini sana..
 
Itategemea na maombi yake,

Itategemea na maombi yake ikizingatiwa ni Mahakama ya mwanzo kesi nyingi ni jinai ila zina umadai ndani yake. Anaweza kabisa kuvipata kutegemea na amri itakayotolewa na Mahakama.

Si umewahi kuona kesi za jinai ndani zina fidia, basi hata kupata mali zake inawezekana japo zinaweza zisiwe zile zile ila Mtuhumiwa anaweza amriwa kurudisha aluvyoiba, sasa hapo asipopata vitu vyake ataomba kutekeleza sehemu hiyo ya hukumu kimadai.
Akiomba atapewa, mahakama haiwezi kukupa kitu ambacho hujakiomba.

Hapa ndio utaona umuhimu wa watu kuwakilishwa kwenye mahakama za mwanzo.
 
Back
Top Bottom