entry
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 539
Usiku wa kuamkia jumapili nilienda kwenye sherehe ya jamaa angu alikuwa anaoa nyumbani nilimuacha mdogo wangu, Ilivyofika usiku nikamuagiza dogo aje kama anaona yupo bored.
Asubuhi tunarudi nilipopanga nakuta pamevunjwa na nimeibiwa baadhi ya mali zangu (risiti original nnazo), nikauliza imekuaje kwa majirani majibu yao yakawa (tumeona asubuhi papo wazi) nikaenda kituo cha polisi nikapewa RB, kesho yake jumatatu nikiwa najiandaa kwenda kazini nikafatwa na balozi pamoja na mwenye nyumba wakaniambia kuna mtu wanamuhisi twende tukamkamate.
Kweli tukafanikiwa kumdaka na akakiri kituoni kuhusika na tukio hilo akatupeleka hadi sehemu ya tukio alipoficha vitu tukavikosa.
Kesi ipo mahakamani sasa naomba msaada wa kisheria katika haya-
1. Nitatoboa katika hili maana sina experience yeyote na case wala mahakama yaani nimejawa hofu tu ya kufika mahakamani.
2. Siwezi kumtia kwenye mahangaiko huyu mdogo wangu maana yeye ndie wa mwisho kufunga mlango.
Nawasilisha