el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Hivi ni hatua zipi za kufuata pale ambapo mtu ameshindwa kesi katika baraza la kata na anapuuzia hukumu ya baraza hilo licha ya kushindwa kesi.Naombeni maelekezo katiko hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlishtakiana juu ya nn kakaHivi ni hatua zipi za kufuata pale ambapo mtu ameshindwa kesi katika baraza la kata na anapuuzia hukumu ya baraza hilo licha ya kushindwa kesi.Naombeni maelekezo katiko hilo
Mgogoro wa ardhiMlishtakiana juu ya nn kaka
Kaza hukumu baraza la wilaya.Mgogoro wa ardhi
ShukraniKaza hukumu baraza la wilaya.