The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Ni B. Sc In Agriculture General and not in Agriculture in General. Hiyo ulioyoandika wewe haipo kabisa hapo SUA iliyopo ni hiyo ambayo nimukuandikia hapo
Kama unapenda kilimo nenda na hiyo ya sua.. ni nzuri kwenye kujiajiriHabari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.
Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu soko katika ajira au kujiajiri, ikiwezekana na kuja kuwa nani endapo ntasoma katika kozi yoyote hapo juu, naomba kuwasilisha maana ushauri ni muhimu pia kwa kijana wenu.
Nenda SUAni makosa ya kiuandishi tu
ndugu,naomba ushauri
Kasome agriculture general kwa kuwaHabari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.
Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu soko katika ajira au kujiajiri, ikiwezekana na kuja kuwa nani endapo ntasoma katika kozi yoyote hapo juu, naomba kuwasilisha maana ushauri ni muhimu pia kwa kijana wenu.
Bsc in Laboratory Science and Technology
Sikushauri kabisa ukasomekwa kuwa unaweza ajiriwa kama mtu wa maabara kwenye hospital, unaweza kujiajiri kwa kufungua maabara yako binafsi, unaweza ajiriwa kwenye miradi ya afya kwenye local na intl NGOs.
Kwa kuwa ina uwanja finyu wa kupata ajira na hata kujiajiri piaBsc in Environmental health science
Kasome agriculture general kwa kuwa
1.Ni rahisi kujiajiri kwa maana ya kufanya shughuli za kilimo, kuanzisha duka la pembejeo za kilimo.
2.Ina uwanja mpana wa ajira kwa mfano serikalini, kwenye miradi ya kilimo kwenye NGOs local na za kimataifa, unaweza fanya kazi benki upande wa afisa mikopo ya kilimo.
Chaguo la pili kasome
Sikushauri kabisa ukasome
Kwa kuwa ina uwanja finyu wa kupata ajira na hata kujiajiri pia
Kwa kozi ya kwanza na ya pili while unasoma tafuta somewhere ujiattach pia kufanya vijikazi ili upate uzoefu, usitafute malipo bali tafuta uzoefu. Komaa kupata GPA nzuri as pia unaweza kuacha kabisaa kufanya kazi za ulichosomea instead ukafanya kazi kama za auditing, business consulting, data analytics provided una uwezo mzuri kwenye analysis, mathematics, communication skills n.k. Hapo namaanisha ukipata GPA kali kajaribu bahati yako pia kwenye big 4 auditing firms if unataka kubadilisha fani as wao huwa wanaangalia if unaweza kuwa trained very quick na ukafanya kazi zao. Kingine unaweza bakia as Tutorial Asistant pia hapo chuoni so komaa na GPA na kupata other soft skills.
ahsante ndugu kwa ushauriNenda SUA