Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Ni kweli Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume. Masheria haya mengi tunapewa/tunarithi kutoka ulaya na marekani. Ujerumani sasa wamepitisha sheria kwamba Mwanamke au Mwanaume katika ndoa halali akisema hataki sex anamaanisha hivyo na ukilazimisha kusex naye unakuwa umembaka. Kwa maana hii ndogo. Kubaka ni kulazimisha jambo bila hiyari ya upande wa pili. Si umesikia mtu anaweza akabaka demokrasia nk. SO mwanamke akimlazimisha mwanaume kufanya naye mapenzi bila hiyari yake ya huyo mwanaume (Consent) AMEBAKA na anaweza kwenda jela miaka 30 bila shida.
Sisi tuna kuwa concentrated sana in law hyo scenario uliyoweka ni maan ya kubaka kidunia zaid
 
Hii sheria umesoma WAP? Ya mwanaume anaweza kulawatiwa
mwanaume hawezi kubakwa analawitiwa na mwanaume mwenzie na sio na mwanamke. s.154 penal code wanaita unnatural offence (kuffira) which also is the same if you have carnal knowledge of a woman against his order of nature. however, kuna sheria imetungwa mwaka jana 2016 inayombana mwanamke mtu mzima anayeolewa na mwanafunzi wa secondary, anafungwa miaka 30 kama vile tu mwanaume anayeoa mwanafunzi wa secondary au msingi. hata hivyo, hiyo sio pure rape na wala sio statutory rape.

the real sense tuliyokuwa tunajadili hapa ni kwamba, hakuna sheria inayosema mwanamke anaweza kumlazimisha mwanaume aingiza uume wake kwenye uke wake halafu mwanamke akashitakiwa kwa kubaka, hilo jambo halipo na kwa mwanaume halisi akishaona k tu lazima consent inakuwepo hivyo hata sheria nafikiri ililiona hilo ikaona isinzie tu isiweke kifungu kinachosema mwanamke anaweza kumbaka mwanaume.

vilevile, mwanamke anaweza kuhesabika amembaka mwanamke mwezio pale atakapokuwa amesaidia au kuwezesha wanaume kumbaka mwanamke mwenzake na yeye anahesabika sawa tu na wale wabakaji na anafungwa sawa na walio fanya penetration.

maana halisi ya "kubaka" ni lazima penetration of a male organ iingie kwenye female organ however slight, lakini kuwe na penetration of a male organ into the vagina...the vise versa is imposible...hahaha, a vagina can never be penetrated into the penis. ili kuprove rape lazima penis ipenetrate kweney vagina....sasa mwanamke atambakaje mwanaume hapo?
 
Huyo mdogo wako mwambie asome vzuri rape section 130 ya penal code ,,anajaribu kupotosha umma
unfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.
 
Tusipotoshe watu wewe na wenzako pitieni gang rape, hii ndiyo circumstance pekee under Penal Code ambapo mwanaume anaweza kubakwa.
131A.-(1) Where the offence of rape is committed by one or more
persons in a group of persons, each person in the group committing or
abetting the commission of the offence is deemed to have committed gang
rape.

hapa, mwanamke kama ame abet au ku aid, na yeye atahesabika kuwa amebaka. lakini hii ni kubaka constructive sio direct. ni sawa tu na kubaka kwa umri/statutory rape. vimwalimu vyenu ndio huwa vinawapa vimaswali kama hivyo na vyenyewe vinajiona vina akili weee? walikuwa wananikera sana enzi zangu.
 
K
Mwanaume hawezi kubakwa na mwanamke ,rape is a male offence,pia ili kuprove kwamba mwanamke hawezi kubaka angalia ingredients za kosa la rape that is actus reus na mens rea,mens rea ni consent na actus reus ni penetration however slight,mwanamke huwa hawezi kuingilia yeye ndie huingiliwa therefore mwanamke hawezi kubaka.
Kwenye sheria za kimataifa yaani international criminal law mwaname anaweza kushitakiwa kwa kubaka. Soma kesi ya Nyamasuhuko kesi ya ICTR
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani wewe umeweka avatar ya aina hiyo halafu ni dume, we shoga nini? nyie wajina mnachafua hii dunia ipo siku mtapigwa risasi wote.
 
Kama Mwanamke over 18 na mvulana under 18 Mwanamke anakuwa amebaka automaic hata kama alitongozwa... same inakuwa kwa Mwanaume over 18 against girls below 18.

Pia Kina wamama wanatembea na Mahouse boy wao hiyo pia ni kubakwa kwa mwanaume kwani anaogopa akikataa kibarua kitaota Manyasi
 
Mwanaume habaki kimwili bali kisaikolojia!
Yani kuna vitu akifanyiwa au kuonyeshwa akishadinda ndo basi tena na siunajua kuwa kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi!
Pia kimaumbile sisi hatubakwi kwani tuna uwezo wa kuzuia vishindo vya mwanamke au kuzira kudindisha haya sasa atabaka mtarimbo uliolala doro.
 
Mwanaume akibakwa daktari anathibitishaje? Kwa mwanamke huwa wanaangalia kama kuna penetration of penis into vagina..... Sasa kwa mwanaume how to prove inaleta mushkeri sana!
Namnukuu mwalim wangu wa sheria...... Mwanaume huwa habakwi
 
unfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.
Namaanisha usome 30 yote ,,sasa kama walipigwa chin s waliingia kichwa kichwa? Yaan at least ungesema kuna presumption flan ,,,
 
unfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.
Katika kesi zangu sipigwag chin kijinga kama unavyodhan ww ,,hii n jf not seriously ndo kesi,,weng humu wana bwabwaja bwabwaja ,,lete kesi ya namna hii uone,,ucheze kesi ikiwa mezan weka mbali na watoto
 
131A.-(1) Where the offence of rape is committed by one or more
persons in a group of persons, each person in the group committing or
abetting the commission of the offence is deemed to have committed gang
rape.

hapa, mwanamke kama ame abet au ku aid, na yeye atahesabika kuwa amebaka. lakini hii ni kubaka constructive sio direct. ni sawa tu na kubaka kwa umri/statutory rape. vimwalimu vyenu ndio huwa vinawapa vimaswali kama hivyo na vyenyewe vinajiona vina akili weee? walikuwa wananikera sana enzi zangu.
Correct boy ,,tu nataka kama HV cyo MTU hana legal argument yeye anapiga tuuu domo
 
Huyo atokuwa bush lawyer section 130 of the penal provides about the ingredient of rape one of them there must be penetration je cha kujiuliza mwanamke atatumia mini kuku penetrate wewe mwanaume kwa ufupi hakuna kitu kama hicho
 
Naam!

Salaam wakuu,

Kuna dogo mmoja, ni mdogo wangu, ameanza sheria tu mwaka wa kwanza yupo. Sasa karudi home mara moja, anajiona tayari ni DA (District Attorney)

Ubishi ulikua ni kwamba, JE MWANAMUME ANAWEZA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI KUWA KABAKWA NA MWANAMKE AKASHINDA? Yeye anasema ndiyo. Mimi ninasema hapana.

Hoja anazotumia kujisapoti ni kuwa, iwe mwanamke au mwanamke akimfanyisha mwenzie ngono bila ridhaa yake, sheria ni ile ile inatumika kwa jinsia zote kutoa adhabu. Kwaiyo kama mwanamke kamforce mwanamume kufanya mapenzi pasipo na ridhaa ya mwanaume huyo na uthibitisho ukawepo, basi mwanamke huyo atahukumiwa kwa kubaka.

Kwa upande wangu nilimwambia kuwa hakuna mwanamume ataweza kushinda kesi ya kubakwa kutokana na ukweli kuwa, tendo lile ni la kisaikolojia, na kama mwanamume haupo willing kulifanya, basi ni vigum kwa jogoo kuwika kwa ajili ya kufanya ivyo. Kwaiyo, hadi jogoo kuwika na kufanya hilo tendo, maana yake ulikua psychologically willing kufanya hivyo. Kwahiyo mwanamume huyo hakubakwa bali alifanya akiwa willing hayo mapenzi.


*Je, wanasheria mlioko humu, kuna kesi ya mwanamume kubakwa na mwanamume huyo akashinda hiyo kesi?*
Huyo Dogo bado hajaijua vizur Sheria mwambie asome vizur na Kama kitu hakijui akae kimya asipende kuongea uongo kwa vitu asivyovijua,
Sheria yenyewe inayounda hilo kosa la kubaka inasema ni kosa kwa mwanaume kumbaka mwanamke, sheria hiyo imetoa inataja ingredients ambazo zinakamilisha kosa hilo la kubaka ambapo mojawapo ni Penetration ya uume kwenye uke wa mwanamke, lakini kwa upande wa pili wa mwanamke yeye hawez kufanya penetration kwa mwanaume.
KWAHIYO HAKUNA KOSA LA KUBAKA KWA MWANAMKE
 
Back
Top Bottom